Interview ya nafasi ya utendaji wa kijiji huwa wanauliza maswali gani?

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
405
565
Habari wadau nimeitwa kwenye usahili/interview katika nafasi ya utendaji wa kijiji daraja la III hivyo naombeni dodoso kidogo mfano wa maswali ambayo tunaweza kuulizwa kule wakati wa Interview,

Lengo nikupata mwanga na kujua namna yakujibu maswali yatakayoulizwa kwakuwa ndio mara ya kwanza kuitwa kwenye usahili

Ahsante.
 
Back
Top Bottom