Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 551
Kuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Lazima waliwe vichwa sababu hawajatakiwa kwenye tangazo
Kuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Waliwaita wa nini sasaKuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwa
Hata form 4 waliotakiwa Div 1,2,3 hata 4 ya 26 mpka 27 wameliwa vichwaLazima waliwe vichwa sababu hawajatakiwa kwenye tangazo
Hata form 4 Kama umefaulu unaliwa kichwaswali rahisi tu je kuna form 6 aliefeli form 4?


Nawakumbusha haya maisha usidharau kazi ya mwenzio, leo hali tete watu wanatamani kulinda wafungwausitufokeee blaza punguza jazba



Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasiHata hivyo muitikio bado mdogo watu hawalipendi ktk interview zote magereza wana watu wachache
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app



kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.



hatimaye wanaenda kula matapishi yao wenyeweWanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini
Haya majeshi hawataki aliyefaulu
Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app



hahahaaa, mkuu maisha haya bwana,walioponda polis leo ndio wanahaha kuitafutaWanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu![]()
Najipa moyo vipi wakati sihusiki na huo usaili ?Unajipa moyo tu. Umetembea nchi yote umeona watu ni wachache? Utaona kama nafasi zitabaki, na kama wewe unafanya usaili utaona jinsi utakavyopata shida kuipata hyo nafasi![]()
Ujuaji wangu upi?Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu![]()







daaaaah ukisikia Hadi Dunia inakukataa ndio hii SasaKatika siku nimechanganyikiwa ni Leo maana me nasubiria niitwe kumbe watu wamesha itwa tyalidaaaaah ukisikia Hadi Dunia inakukataa ndio hii Sasa
sahh, vp wa fani bado?Ngoja nkuambie boss....kama umeombea morogoro na bado upo huko jaribu kwenda hapo ulipoombea ukawaulize kama washapiga usaili....usikate tamaa mapema sababu sio wilaya zote zilizomaliza usaili nyengine bado hazijaanza kabisa
Wanachukua wasomi wachache kwa ajili ya utaalamu na uongozi.
The rest ni walinzi wa kawaida structure za majeshi ziko ivo, we jiandae kisaikolojia kama unaenda huko ujuaji wako acha nyumbani kwenu![]()