Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,205
Sio utani mkuu sasa kama mjini watu wachache huko wilayani vipiHahaha acheni utan
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio utani mkuu sasa kama mjini watu wachache huko wilayani vipiHahaha acheni utan
Mamaeee maji yamezidi unga wahuni wako wanajadili kazi ya Magereza wanasahau huwa wanaiponda oooh kazi gani ya kulinda wafungwa askari mwenyewe anakuwa mfungwa.
Wekeni akiba ya maneno umbwa nyinyi![]()

kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.kama wanavyoiponda kazi ya polisi ila kuna uzi mmoja wa ajira za polisi wamejazana.

Ombeni ndugu zangu ila sisi tunachukia mlivyo na mambo ya kinafiki.Mnaziponda hizi kazi ila ajira zikitoka mbiombio kuomba.Kuweni na mambo ya kiume.sasa kama watu wana vigezo vyote vyote na ajira hawana wasiache kuomba mkuu..?? Hahahahaha watu tunaenda uelekeo ulipo tuu![]()

Mkuu wa wilaya anakuambia 1 ,2 na 3 hazitakiwi anaweka msititizo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

aisee kiroho mbayaaaaVIP kwa form six wamechukua?Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini
Haya majeshi hawataki aliyefaulu
Watu wanne tu ndio wanatakiwa ktk kundi la watu 50 hapo karanga kama watatu wamekuja nao kufanya usaili na hapo hapo wanapewa kazi ya kuwapanga mistari nyie
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Division 1 mpka 3 na four ya 26 kama sikosei wamekatwa magereza wilaya Tanga mjini

miningesepa kwakweli 

Anaweza kuwa karanga na hana sifaKwamba karanga wanawapanga mistari halafu na watu bado wamekaza tuu..miningesepa kwakweli
![]()
Wamewaita halafu wamewakataVIP kwa form six wamechukua?
Haha maanake hapo lazima wazingatiwe hao kwanza halafu mfate nyie ambaye mlishaenda uraianiWalivaa na karanga zao kwa unaaa au sio![]()
Aah wapiAnaweza kuwa karanga na hana sifa
mpka aje maanake kapigiwa simu maanake ana sifa
kaka we nenda mtaani tafuta hela utanishukuruKwamba karanga wanawapanga mistari halafu na watu bado wamekaza tuu..miningesepa kwakweli
![]()

maanake unajua kabisa sina changu lazima hawa wazingatiwe na watu wenyewe wanne wanaitajika karanga wapo 3 hapo anatafutwa mmoja maanake unajua kabisa sina changu lazima hawa wazingatiwe na watu wenyewe wanne wanaitajika karanga wapo 3 hapo anatafutwa mmoja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aah wapimpka aje maanake kapigiwa simu maanake ana sifa
Ila form 6 hajawafanyia poa wameitwa halafu wamekatwa wote sasa kama hawataki form 4 uwe umefaulu sasa kuna aliye form six kafeli form 4 ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

swali rahisi tu je kuna form 6 aliefeli form 4?Hakuna kitu km hichoswali rahisi tu je kuna form 6 aliefeli form 4?
Kuna mdau amesema form 6 wote wameliwa vichwaHakuna kitu km hicho