Msaada: Simu yangu ya Samsung S7 edge inawaka ikifika kwenye logo inagoma then inajizima

The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
820
2,070
Wakuu salamu.

Simu yangu hapa, Samsung S7 edge, nimeiwasha leo inawaka ikifika pale kwenye logo ya *Samsung* ina stuck then ina jizima. Nimejaribu ku wipe cache partition lakini bado haikubali. Najua nikiformat itaweza kupona ila hofu yangu simu ina data zangu nyingi na muhimu sana hususani kwenye notebook.

Nifanyeje, iwake pasipo ku-flash au ku-format? Naombeni msaada wakuu
 
Hyo inahitaj kuwekewa firmware mpya yan file system inayoifanya iwake na kuprocess vizur

Upo mkoa gan tuongee tuone nakusaidiaje
 
Back
Top Bottom