Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 283
- 644
Masaa ni nini? Hebu nifafanulie nielewe unachomainisha, kwa kawaida muda wa siku hupimwa kwa SAA, DAKIKA NA SEKUNDE, sasa katika kiswahili huwa hatuna masaa na lisaa.Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante
Hiyo ipo tu inakua imejengeka hivyonikama vile unakuta mwingine kila siku asubuhi mtu lazima upuu
Aisee na iwe hivyo itakuwa jambo jema sanaWanaziita angel hours. Eti wanasema ukiona hivyo ujue malaika wako wa ulinzi anakupa uhakika kwamba mko pamoja. And if you look closely, utagundua mambo yako yanakwenda vyema
30'sumri wako tafadhari...?
Sasa Mkuu nitakwepaje?Masaa ni nini? Hebu nifafanulie nielewe unachomainisha, kwa kawaida muda wa siku hupimwa kwa SAA, DAKIKA NA SEKUNDE, sasa katika kiswahili huwa hatuna masaa na lisaa.
Nirudi kwenye mada, wewe ni mister perfect yaani ulialiwa muda huo na utafariki muda huo, kwa ushauri tu, jaribu kukwepa muda ambao saa na dakika zinafanana, utakufa.
Inategemea unaingalia toka upande gani, kwa sisi Wazee wa nguvu za Universe tunatambua kwamba hii ni syncronicity, Universe inakuletea ujumbe na vitu vyako vinaelekea kua aligned.Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo.
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante.
Mimi nikawa naangalia saa nikaona hivyo hapo hapo najikuta naingia kwenye mawazo sana kujiuliza why.Mimi Kuna namba huwa naziona mara nyingi zaidi, iwe upande wa saa, mabango, nbr za gari nk nk, naona zaidi nbr 5:55 ama 911, miaka inapita na hii inajitokeza sanaa, siogopi kwa sababu zipi tena, maisha yanaendelea na naziona sana mpaka leo
Maana yake punguza bangiHabari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa? Nikangalia saa nakuta 12:12 au 05:05 kutegemea na majira ya muda huo.
Au nasema ngoja nikaangalie mazoezi uwanjani naangalia saa 17:17, 18:18, ngoja niamke nijiandae kwenda ofisini nikicheki saa 06:06.
Naombeni msaada wa ufafanuzi kuangalia saa nakukuta masaa na dakika kufanana ina maana gani kiroho, kiakili, kimaisha?
Ahsante.
Nimekuelewa Mkuu haswa hapo kwenye ubungo kunilazimisha kuangalia muda. Na wakati nakua naangalia nakuwa relaxed baada ya kuangalia ndio nashtuka imekuwaje tena kufanana kumejirudiaInategemea unaingalia toka upande gani, kwa sisi Wazee wa nguvu za Universe tunatambua kwamba hii ni syncronicity, Universe inakuletea ujumbe na vitu vyako vinaelekea kua aligned.
Kwa wale wa saikolojia watakuambia kwamba hii ni priming na framing. Ubongo unakua umezoea patterns fulani na kukulazimisha ukifika huo muda uangalie majira.
Maana yake punguza bangi