simu yangu Aina ya HTC disire 320

shemahenga

Senior Member
Jun 28, 2015
132
225
ndugu , naombeni msaada ! Nina simu yangu aina hiyo tajwa. Inanisumbua. Ukiiwasha inawaka ila haidisplay, inakaa sekunde kama tano inajizima na kurestart .muda mwingine inadisplay na kuitumia ila haizidi sekunda tano inazima na kurestart yenyewe na ikirestart haionyeshi kwenye kioo inaandika tu htc kisha android inazima inarestart tena na some tym ukiweka charge inarestart . Nimepeleka kwa fundi , anasema kuna faili la kudownload kaka nayo siku mbili kashindwa hali ni ile ile . Nimerestore ila sekunde imezima na kujiwasha ila haidisplay .nisaidieni nifanyeje
 

C-venture

Senior Member
Dec 18, 2017
116
225
Tafuta fundi mzuri wa kalibu yako mtaalamu wa software aweke recovery rom kwenye simu yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom