Msaada! Hivi kati ya degree ya general nursing, nursing anaesthetic na clinical nutrition na physiotherapy ipi ina soko?

Mkuu... ni mtazamo wangu tu lakini, ina depend kama una muda like, majukumu hayakubani... general nursing ni nzuri, kisha una top up anaesthetic. General nursing inahitajika kwa wingi duniani kote. Anaesthetic nursing bongo ilipata demand kubwa ghafla baada ya hayati Uncle Magu kujenga hospitali nyingi kama utitiri zenye uwezo wa upasuaji, hongera ziende kwake. Lakini mfano alivoanza kununua vifaa vya hospitali vikubwa vikubwa, rate ya biomedical students ikapanda, ila tangu afe, hmm hao biomedical anaejua hatma ya ni Mungu "Al-Rahman" (mwenye upendo mkuu)...
Anyway, kuhusu nutrition wabongo bado wanakula matunda, subiri yote yaishe mbegu kwanza lasivyo utakua kama walogundua internet ya satellite mwaka 1961...
Kuhusu physio sijui sana mkuu apo...
 
Kwahiyo

Clinical nutrition sio ishu sana mkuu
 
Kwahiyo
Clinical nutrition sio ishu sana mkuu
Iyo ata wagonjwa wa kisukari washabobea...
Ni yale yale tu,
Achana na mafuta, chumvi usiongezee juu ya chakula, fanya mazoezi kunywa maji mengi...
Anyway inategemeana na mgonjwa na mgonjwa...
Lakini, bongo hio kazi anafanya daktari husika,,,
Mfano, wa figo, wa masuala ya homoni nknk...
Au hata manesi walobobea...
Labda kama we unakotoka kuna ukwasi, uanzishe kitengo cha tiba kupitia chakula, ama kitengo cha utafiti wa tiba kutokana na vyakula... kama South Africa...
Hapo sawa.
Tofauti na hivo, passion ni matunda tu sio hobby,,, weka pembeni komaa na kazi zenye soko.
 
Tafadhali lakini,sasa kwa nursing kazi ipi ina

Ni zipi mtu anaweza kwenda kusoma bachelor ukiachana na general nursing?
 
Mkuu... kuna vitu ni basic(vya msingi) alafu kuna vitu ni secondary to (vitokanavyo).
Hii inafanana kuanzia katika elimu mpaka uchumi...
Mfano, kilimo ni basic, ila viwanda, masoko ya kimtandao na akili mnemba ni secondary, tertiary na nknk...
Maana ake, unaeza ishi bila e commerce wala viwanda wala akili mnemba (AI) Ila huezi ishi bila kilimo.

Namaanisha, any basic course nchini soma, hio itakua kama mama, utaikimbilia kila ukikwama...
Kisha, take your time, research course zinazolipa kwa wakati huo kama secondary.

Anything technical pays, kwa course yoyote ile. Shida ni msingi tu.
Wapo wengi leo wamefanikiwa kwa vi fellowship vya miezi sita, mpaka mwaka, lakini walianzia a primary course.
Ni hayo tu mkuu,,, kila basic course ni nzuri. Secondary itaamua hatma ya uhuru na pesa utazopata.

Yaani mimi niko kwenye system tayari aisee kwahiyo nataka nika upgrade tu naona hapa watu wengi sana wanaenda kuchukua hiyo clinical nutrition
 
Mkuu... ni mtazamo wangu tu lakini, ina depend kama una muda like, majukumu hayakubani... general nursing ni nzuri, kisha una top up anaesthetic. General nursing inahitajika kwa wingi duniani kote. Anaesthetic nursing bongo ilipata demand kubwa ghafla baada ya hayati Uncle Magu kujenga hospitali nyingi kama utitiri zenye uwezo wa upasuaji, hongera ziende kwake. Lakini mfano alivoanza kununua vifaa vya hospitali vikubwa vikubwa, rate ya biomedical students ikapanda, ila tangu afe, hmm hao biomedical anaejua hatma ya ni Mungu "Al-Rahman" (mwenye upendo mkuu)...
Anyway, kuhusu nutrition wabongo bado wanakula matunda, subiri yote yaishe mbegu kwanza lasivyo utakua kama walogundua internet ya satellite mwaka 1961...
Kuhusu physio sijui sana mkuu apo...
Kuna kitu unachanganya huelewi tofuti kati ya Nurse Anaesthetist (RN/EN with certificate in Anaesthesia) na Anaesthetist officer (BSN in Anaesthesia)
 
Ahh, makosa katika uandishi si unajua binadamu sio akili mnemba,,,
Anyway, nachomaanisha, general nursing ina wide range ya demand ambayo ni easy kuchukuliwa kuliko anaesthetic officer...
Mfano, ni rahisi mtu kuanzisha kitengo cha mama na mtoto, kuliko chumba cha upasuaji,
Ama hata clinic nknk... anyway mtazamo wako ni upi mkuu?
 
General nurse ni nzuri sana Kama umeajiriwa Tamisemi maana wasomi wa degree wa wachache hivyo ni rahisi kupata nafasi katika utawala na unaweza ukajiongeza kwa masters ya MPH,au Leadership.
Ila kwa wizara NO wako wengi sana so ili uonekane at least ukasone masters hasa ya maternal au midwife Ina demand kubwa.
So uamuzi ni wako Kama una diploma nadhani unayajua majukumu ya nurse yalivyokuwa mengi.
Kuna umri ukifika Kama uko clinical unachoka sana.

Nurse anesthetist inayotolewa Muhas ni degree nzuri na mpya inatolewa muhas Ina competition kubwa sana Kama una GPA chini ya 4.5 sahau kupata Ila ni nzuri sana maana haina graduate wengi na fursa zake mbele ni nyingi Ila Kama mvivu wa call na night unaweza kuichukia hasa mwajiri wako akiwa Tamisemi maana utapiga sana mzigo.

Clinical Nutrition ni nzuri kwa mtu uliyeajiriwa maana utafanya categorizion japo muundo wake haujaja so kwa mtu mwenye check number ni degree nzuri Kama umetokea nurse maana inakupunguzia majukumu pia na kufanya ideal na Mambo machache sana na itakujenga Kama utaamua kujiendeleza masters yake ya clinical Nutrition itakufanya uingie kwa utawala.

Ushauri wangu CLINICAL NUTRITION ni best kwa sasa Kama sio mpenzi wa masuala ya kukaa sana clinical field maana hii course haina Mambo mengi na inakufanya usimtegemee mtu

Anaesthesia degree nzuri na Ina hela nyingi za part-time Ila haina future yoyote hata ukijiendeleza kielimu baadae na inachosha sana Hasa issue za clinical na call.
 
Back
Top Bottom