Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,961
- 24,187
Basi zingatia usafi. Osha mapumbu yako na uyakaushe vizuri kwa taulo safi. Vaa nguo za ndani safi na usirudie.View attachment 2625028
Tumemaliza Maabara, kwa mujibu wa daktari amesema;
RPR -NIL-
MRDT -NIL-
Urinalysis -Kuna wadudu-
Physical check kwenye dudu, Dr kasema ni fungus infection.
Tumeandikwa Dawa na tunarejea nyumbani kwa ajili ya kuanza kuzitumia.
Kama husikii tena maumivu wakati wa kukojoa hakuna shida. Zingatia dozi.