Picha Iko wapiHabari Madaktari na wanadau wengine huku ndani.
Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu...
Asante Dr,Ulimuonesha daktari dhakari yako na kumuelezea unavyojisikia? Sikuona sababu ya kupima stool. Urine okay.
Nakusihi leo uende tena kwa uchunguzi zaidi. Usimsahau mwenza wako kama una uhakika hukufanya na mwingine yeyote. Inawezekana yeye ndiye mwenye shida. Kujitibu huku ukimuacha yeye, ni kupunguza tu tatizo. Siyo kulimaliza kabisa.
Safi. Hiyo RPR itadetect Syphilis na Urinalysis itaweza kuonesha uwepo wa GonorrheaAsante Dr,
Mara ya kwanza nilimweleza daktari ninavyojihisi, wala has hakutaka nimwoneshe dhakari yangu zaidi ya kunisikiliza na kunipa dawa.
Leo tuko hospital na mwenza wangu ili tuweze kupima na kupata matibabu zaidi kwa pamoja.
View attachment 2624999
mchuma jangaTuko hospital (Mimi na Mwenzangu)
Mwanzon tulipimwa Choo, Mkojo na Malaria.
Nitaleta mrejesho.
View attachment 2624986
Tunasubiri majibuAsante Dr,
Mara ya kwanza nilimweleza daktari ninavyojihisi, wala has hakutaka nimwoneshe dhakari yangu zaidi ya kunisikiliza na kunipa dawa.
Leo tuko hospital na mwenza wangu ili tuweze kupima na kupata matibabu zaidi kwa pamoja.
View attachment 2624999
Safi. Hiyo RPR itadetect Syphilis na Urinalysis itaweza kuonesha uwepo wa Gonorrhea
Tuko hospital (Mimi na Mwenzangu)
Mwanzon tulipimwa Choo, Mkojo na Malaria.
Nitaleta mrejesho.
View attachment 2624986
Pole mkuu.. Kunyweni dawa sasaTumemaliza Maabara, kwa mujibu wa daktari amesema;
RPR -NIL-
MRDT -NIL-
Urinalysis -Kuna wadudu wa UTI-
Pole mkuu.. Kunyweni dawa sasa
Muulize yeye maana ndo kafungua uzi.Kwani hawezi kunywa dawa hadi umwambie !??, yeye ni mtoto!!?š¤£š¤£