Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu

ethan_ivan

Member
Sep 16, 2023
8
5
Habari zenu wakuu,

Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu.

Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti sana ikanibidi niende hospital ya kwanza, wakacheck UTI na kipimo cha VDRL ikasoma negative. Nikakutwa na UTI nikachomwa sindano 5 wakasema itasaidia pia kukausha hivyo vipele.

Kweli viliisha ila kama week tena vikaanza upya, nikaenda palestina wakacheck damu kubwa ,vdrl na kipimo cha fullblood picture ila hakuna kilichoonekana ila doctor akasema yawezekana wart akanipa dawa inaitwa acyclovir ya kunywa na kupaka.

Kweli vikatulia kama week 2 tena mbele vimeanza ila sasa kwenye uume kuna dalili nyingine, kuna anza kuwasha kwenye ngozi alafu panaleta kama kidonda kama sehemu mbili na vile vipele vinatoka sehemu ya niliposhonwa nyuzi, kingine korodani moja imepanda juu alafu kama inakauvimbe ila ukigusa kinapotea.

Maumivu pia mda mwengine nikikojoa maumivu nayasikia kwenye kichwa cha uume alafu pumbu zinakuwa zinanywea sana ila nikioga maji baridi zinajaa na hivyo vipele huwa vikianza kutoka vinachoma nakuwasha alafu vinatulia.

naombeni msaada!
 
Fika kwenye hospitali kubwa yenye vipimo vya uhakika mkuu,

Tena fanya haraka, hizi hospitali zingine huwa wanapima tu kwa maelezo uliyompa, niliwahi kupima afya nikaambiwa siumwi chochote, wakati mm najiona ni mgonjwa hasaa, kumbe ninatatizo kubwa tu na sasa nipo sawa

Fika hospitali kubwa kupata vipimo vya uhakika, hapa JF utakerekwa tu maana wapo ambao watakudhihaki tu wakati ww unahitaji tiba ya haraka
 
Habari zenu wakuu,

Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu.

Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti sana ikanibidi niende hospital ya kwanza, wakacheck UTI na kipimo cha VDRL ikasoma negative. Nikakutwa na UTI nikachomwa sindano 5 wakasema itasaidia pia kukausha hivyo vipele.

Kweli viliisha ila kama week tena vikaanza upya, nikaenda palestina wakacheck damu kubwa ,vdrl na kipimo cha fullblood picture ila hakuna kilichoonekana ila doctor akasema yawezekana wart akanipa dawa inaitwa acyclovir ya kunywa na kupaka.

Kweli vikatulia kama week 2 tena mbele vimeanza ila sasa kwenye uume kuna dalili nyingine, kuna anza kuwasha kwenye ngozi alafu panaleta kama kidonda kama sehemu mbili na vile vipele vinatoka sehemu ya niliposhonwa nyuzi, kingine korodani moja imepanda juu alafu kama inakauvimbe ila ukigusa kinapotea.

Maumivu pia mda mwengine nikikojoa maumivu nayasikia kwenye kichwa cha uume alafu pumbu zinakuwa zinanywea sana ila nikioga maji baridi zinajaa na hivyo vipele huwa vikianza kutoka vinachoma nakuwasha alafu vinatulia.

naombeni msaada!
Broo kama unafanya "unhealthy sexual practices" bora useme kabisa, kama hutaki bac ukienda huko hospital umwambie daktari wako, usione aibu kaka, ukisema itakuwa rahic kwao kupata diagnosis ya tatizo lako kuliko kufichaficha haisaidii kitu.
 
Habari zenu wakuu,

Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu.

Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti sana ikanibidi niende hospital ya kwanza, wakacheck UTI na kipimo cha VDRL ikasoma negative. Nikakutwa na UTI nikachomwa sindano 5 wakasema itasaidia pia kukausha hivyo vipele.

Kweli viliisha ila kama week tena vikaanza upya, nikaenda palestina wakacheck damu kubwa ,vdrl na kipimo cha fullblood picture ila hakuna kilichoonekana ila doctor akasema yawezekana wart akanipa dawa inaitwa acyclovir ya kunywa na kupaka.

Kweli vikatulia kama week 2 tena mbele vimeanza ila sasa kwenye uume kuna dalili nyingine, kuna anza kuwasha kwenye ngozi alafu panaleta kama kidonda kama sehemu mbili na vile vipele vinatoka sehemu ya niliposhonwa nyuzi, kingine korodani moja imepanda juu alafu kama inakauvimbe ila ukigusa kinapotea.

Maumivu pia mda mwengine nikikojoa maumivu nayasikia kwenye kichwa cha uume alafu pumbu zinakuwa zinanywea sana ila nikioga maji baridi zinajaa na hivyo vipele huwa vikianza kutoka vinachoma nakuwasha alafu vinatulia.

naombeni msaada!
Follow this link to join my WhatsApp group: Afya ya Mwanaume
 
Back
Top Bottom