Boss mimi ni Mzoefu ukiachana na utaalam nilionao, samsung wako Makini sana na swala la display....Hawawezi fanya ujinga wa kutengeneza display mbovu kwenye simu latest kama J7 Prime, kuna mshikaji aliniletea iko ivo ivo akaniambia laki tatu na full box, nikamwambia ni OG?? akakaza akidai OG..Nikamwambia Fungua Box...kama ni OG 300 nakupa ila kama si OG utaondoka tu....akamenya kile kikaratasi duuh Ngomaa Fekii na yeye ikabidi akubaliNdio jinsi hizo simu zilivyo, zina display mbaya sana. Kuanzia galaxy prime mpaka hii hazina tofauti yoyote.
Prime mkuuSamsung j7 ziko nyingi, Neo, prime ya kwako ni ipi?
j7 prime kioo chake ni TFT sio Amoled, so ni kawaida kuwa kama maji ya mchele.Mkuu Mkwawa hio ni Very Fake Galaxy J7 Prime...hata wauzaji wanajua ila wanashikisha tu....tazama tu display....Hakuna samsung OG yenye display ya hivo.
Nini huwa kinatokea baada ya hapoPiga Hii kitu kama ni og kweli,*#0*#........
We jamaa umenifanya nicheke sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaaa kapagawa balaaaTiku umepagawa mpaka unajiquote mwenyewe
Picha ya juu kabisa apo kweny device name pame andikwaNimetoa zote niangalizien kama ni original roho itulie kama ni feki asubuhi nafungua duka ananikuta nje
Hahahahahahahaahahahahahahaha!!!mkuu umesoma lakini nilivyoandika?
Ndo ulipaswa ueleze huo utofauti, kuongea pekee hakutoshi.Simu yangu ni kaka ya huyu mtoa uzi ila ziko tofauti sana tu
Kwa pesa hiyohiyo laki 6?Maana ingekuwa feki ya feki ningeirudisha nikachukua sony experia z5 alinambia muuzaduka
Alinambia ntaongeza hela.Kwa pesa hiyohiyo laki 6?