ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,237
- 1,919
Noma sana mkuu na misongi sasa balaa,,Mohra imepangwa vzr sana,huku Akshay,huku Sunnil huku Nassurudin shaa
Story ataly.
Ile.movie dah sichokagi kbsa kila nikiangalia naona mpyat.
Noma sana mkuu na misongi sasa balaa,,Mohra imepangwa vzr sana,huku Akshay,huku Sunnil huku Nassurudin shaa
hakuna mtu alipata tabu ile muvi kama amita..lakini hakukata tamaa alivimba hadi mwishoNdio hiyo mzee mwenzangu AKSHAY anakufa katika uwanja wa mpira
Naikubari sana ile MOVIE
Koyla. Makaa ya motoooooo.
Mkuu Nakuomba Njoo PM.Ha pole mkuu mkuu ungekuwa DAR ungekuja nikakupa tu nina kama zote kunzia miaka ya 2010 kushuka chini hasa 90s na 80s ila ninazo mpk za miaka 60 baadhi
View attachment 1838219View attachment 1838222
hii dada alitupwa kwenye mto wa mamba anaitwa REKHA na muvi inaitwa KHOON BARI MAANG..Koyla. Makaa ya motoooooo.
Kuna movie inaitwa Chandni ..
Ya zamani ..sridevi ..
Halafu kuna Amar ..akabar .. Antony..amitabh bachan..
Halafu kuna movie ya Hema malini alitupwa kwenye mto wenye mamba ..nimesahau jina..
Disco dancer ..
Na kuna movie moja ya Ajay na Salman Khan
Nimeisahau jina Ila story inahusu
Ajay alimuoa dada nafikiri ni Aishwarya..kumbe Aishwarya Yuko in love na kijamaa mwanamuziki underground..ndo Salman..
Ajay baada ya kuona mwanamke alie muoa full kisirani akaona Bora ampeleke kwa hiko kijamaa..wakaenda hadi Italy wanamtafuta huyo jamaa...Ile journey ndo ikawafanya wazoeane ..wakaanza kupendana..
By the time wanakkipata kijamaa... mwanamke hamtaki tena anamtaka mumewe..
Wahindi wanajua kuandika
Shahrukh hiiii mkuu. Shahrukh alilishwa makaa ya mawe ili asiseme mauaji ya wazazi wake maana aliona wakiwa wanauliwausipomtaja amrish puri utakuwa hujaitendea tasnia haki kabisa...
zamani wadogo ukikataa kula tuu unaambiwa amrish puri anakuja mbona msosi utaisha huo..hahaha
hii dada alitupwa kwenye mto wa mamba anaitwa REKHA na muvi inaitwa KHOON BARI MAANG..
jamaa aliamua kumuua mke ili ale bata vizuri na mchepuko.huku akitumia mali na ukwasi wa mke wake.
aliemlisha hayo makaa ndio amrish puri..Shahrukh hiiii mkuu. Shahrukh alilishwa makaa ya mawe ili asiseme mauaji ya wazazi wake maana aliona wakiwa wanauliwa
Hizo movie Star Gold hua wanaonesha sanaaa!Haswaa Sholay!naielewa sana hii movieYea hii muvi kazi. Kinachoniuma ni muvi ambayo niliiangalia enzi za Lufufu kibandani Big M na sijawahi itafuta sasa hivi ili niielewe.
Disco Dancer nilishindwa vumilia nikaitafuta. Vishwatma haipo online, Sholar aur shabnam haipo online pia ila ilitakiwa nizipige review
Teree naam ya Salmaan Khan Bwana!Bhaijaan anakuwa chiziRufufu mungu anamuona aisee.. Sunil Shet yeye alikua anamuita Shurusheti.
Kuna muvi inaitwa Tere naam ya Akshay bonge moja la muvi. Napenda sana Bollywood movies sema sina pa kuzipata mpaka nikiwa na muda niangalie B4U movies. Nina nyimbo za kihindi 500 zote video usiku napenda kulala nazisikiliza
Khakee first time nilivoiangalia nililia aseehh!!!Mimi bwana kwa wahindi nalia kama mtoto Niko too emotional!!! Halafu nampenda Devgan ndo kawa adui daahh!Aishwarya Rai mule ameact vzr sanaYeah
tere naam ya SALMAN KHAN mpk anakuwa chizi 7bu ya demu
AKSHAY KUMAR na RAVEENA TANDON
hawa ndo walonifanya niwe mpenzi wa MOVIE za KIHINDI tangu miaka ya 94 95 hivi TV zilipoanza kuwa nyingi BONGO
katika MOVIE za miaka ya 2000 ninayokubari ya AKSHAY kuna KHAKEE humo kaupiga mwingi na AMITABH BATCHAN pamoja na AJAY DEVGAN kama kawaida Kupenda MADEM ndiko kulimponza katika MOVIEE hii
bila kusahau AJNABEE humo anacheza na BOB DEO ni baadhi ya MOVIE chache za miaka ya 2000 ambazo ndio walikuwa wanamaliziamalizia ule ubora wao
Enzi hizoView attachment 1838232View attachment 1838234
Now demu hazeeki aiseeView attachment 1838236View attachment 1838237
Aishwarya anampiga risasi Akshay bila huruma aseehh!!!Mchizi anamuambia Demu amuue si anaumuua kweli!!Dada gaidi then bwana ake Ajay DevganNdio hiyo mzee mwenzangu AKSHAY anakufa katika uwanja wa mpira
Naikubari sana ile MOVIE
Sisi Daslama tulikua tunamuita mzee Ashanti daah huyu baba acha kabisaausipomtaja amrish puri utakuwa hujaitendea tasnia haki kabisa...
zamani wadogo ukikataa kula tuu unaambiwa amrish puri anakuja mbona msosi utaisha huo..hahahah
Kuna movie ya Hollywood nafkiri walichkua hio story.Baaazigar
Shahrukh Khan
Baba yake shahrukh ana kampuni na Mali. Ameajiri watu wengi tu. Kuna jamaa alikuwa maskini ana watoto wawili wa kike. Hapo shahrukh bado mtoto kama miaka 6 hivi. Anamuajiri huyo maskini baba wa wasichana wawili (Dalip tahil). Baada ya jamaa kuajirriwa anafanya kazi anakuwa maarufu na anaaminiwa na boss (baba yake SRK). Boss anapata safari anaenda nje ya nchi anamuachia kampuni Dalip tahil. Jamaa na tamaa zake anabadili hati miliki ya kampuni na jina anabadilisha. Boss kurud Hana chake. Anabaki mtu anafilisika anakuwa maskini wa kutupwa. Katika majanga ya njaa na stress baba yake shahrukh anakufa na mdogo wake shahrukh anakufa. Anabaki mama na shahrukh mwenyewe. Alooooo, hapo bado mtoto kama 8 years. Maisha yanaenda miaka inaenda, jamaa anakulia kijijini anakuwa mkubwa 28-35 years. Anaamua kuondoka kijijini kwenda kutafuta life mjini. Anamuaga mama. Alooooo, jamaaa ana machungu. Alooo, anaomba lift kuja mjini. Anafika anachunguza adui yake. Anajua adui yake aliyemuibia baba yake kampuni anapenda michezo ya kushindana ya magari. Alooooo, jamaa anajitosa kwenye mashindano ya magari. Siku ya competition, adui yupo naye yupo. Wanashindana jamaa anaongozaa mwanzo mpaka Karibia na mwisho. Anashika brake, anamuachia adui wa baba yake ashinde. Maksuuuuudi. Adui anafurah anasheherekea na Binti yake mkubwa. Alooo, wanamfata mtaalam kuja kumpingeza. Imetick. Binti wa adui anampenda msela. Alooooo, .........msela anamtafuta Binti wa pili wa adui wanakuwa wapenzi. Alooooo, jamaa anatembea na ndugu wawili kwa wakati mmoja......interval....bonge ya movie. Unfortunately msela alikufa. Aloooooo
Mie nikiangalia movies za wahindi huwa nalia tu.Kuna movie inaitwa Chandni ..
Ya zamani ..sridevi ..
Halafu kuna Amar ..akabar .. Antony..amitabh bachan..
Halafu kuna movie ya Hema malini alitupwa kwenye mto wenye mamba ..nimesahau jina..
Disco dancer ..
Na kuna movie moja ya Ajay na Salman Khan
Nimeisahau jina Ila story inahusu
Ajay alimuoa dada nafikiri ni Aishwarya..kumbe Aishwarya Yuko in love na kijamaa mwanamuziki underground..ndo Salman..
Ajay baada ya kuona mwanamke alie muoa full kisirani akaona Bora ampeleke kwa hiko kijamaa..wakaenda hadi Italy wanamtafuta huyo jamaa...Ile journey ndo ikawafanya wazoeane ..wakaanza kupendana..
By the time wanakkipata kijamaa... mwanamke hamtaki tena anamtaka mumewe..
Wahindi wanajua kuandika