Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri.

Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu wa Sunil Shet waka mpa binti yao Akshay Kumar amuoe binti alikuwa hana sauti juu ya wazazi wake.

Mzee mzima Sunil Shet akawa amesharudi kuhaso akafanikiwa kupata pesa nyingi akawa Don kwa bahati mbaya mama yake akafariki akachomwa moto.

Basi Sunil Shet (Devi jina alilotumia) akaenda kwao na demu wake akaambiwa ameshaolewa na kijana mfanya biashara Sunil Shet akachanganyikiwa akamfatilia hadi Delhi.

Akafanikiwa kukutana na demu wake hakuamini kumuona msela aliyeachana nae na kwenda kutafuta maisha
Mwenye link ya kudownload movie za kihindi msaada atuwekee hapa
 
Noma sana mkuu na misongi sasa balaa,,
Story ataly.
Ile.movie dah sichokagi kbsa kila nikiangalia naona mpyat.
Hatari sana mkuu,sema japo ni movie tu lkn nilichukia sana sunil kufa,nilitamani apambane hadi mwisho.
 
Hii inaitwa masti masti tuuchizi..
😁😁😁😁😁😁,Ataly sana

Hii ngoma ndo kama nyimbo ya taifa india hit song ya mda wote,,
Hakuna audition yeyeote ya underground isiimbwe hii,,
Hahahaaaa,,,,,Kweli mkuu
 
Rufufu mungu anamuona aisee.. Sunil Shet yeye alikua anamuita Shurusheti.

Kuna muvi inaitwa Tere naam ya Akshay bonge moja la muvi. Napenda sana Bollywood movies sema sina pa kuzipata mpaka nikiwa na muda niangalie B4U movies. Nina nyimbo za kihindi 500 zote video usiku napenda kulala nazisikiliza
Hio Tere naam ni nyoko aisee
 
hiyo movie nilionaga nikiwa mdogo tu vibandani ila sijawahi isahau mwaka jana nikaitafuta youtube maana hata jina sikua naijua ila najua waigizaji nikaangalia upya ndo nimeelewa sasa maana hata lugha kidogo inapanda kwa subtitle hahaha bonge la movie.
 
Hii inaitwa masti masti tuuchizi..
😁😁😁😁😁😁,Ataly sana

Hii ngoma ndo kama nyimbo ya taifa india hit song ya mda wote,,
Hakuna audition yeyeote ya underground isiimbwe hii,,
Nyingine hio mkuu
 
JAAN DA DUSH MAN imetoka 2002
Hii imetoka 2000
Na song kali katika hii MOVIE lenye huzuni mno kukalibia mpk kutoa machozi
Linaitwa DIL NE YE KAHA HAI DIL SE
mtoto anamlila MTAMBO wa KULEKEBISHA tabia(suni shetty)
Lkn baadaye anakumbuka aneshaolewa haiwezekani tena na Wahindu ukishaolewa ni km ndoa ya KIKATORIC ndio wako milele
Hapo songi linapokolea Sunil shetty kalalamika sana tena sana WAHINDI noma sana

hii movie imetafsiliwa na
lufufu bro
 
Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri.

Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu wa Sunil Shet waka mpa binti yao Akshay Kumar amuoe binti alikuwa hana sauti juu ya wazazi wake.

Mzee mzima Sunil Shet akawa amesharudi kuhaso akafanikiwa kupata pesa nyingi akawa Don kwa bahati mbaya mama yake akafariki akachomwa moto.

Basi Sunil Shet (Devi jina alilotumia) akaenda kwao na demu wake akaambiwa ameshaolewa na kijana mfanya biashara Sunil Shet akachanganyikiwa akamfatilia hadi Delhi.

Akafanikiwa kukutana na demu wake hakuamini kumuona msela aliyeachana nae na kwenda kutafuta maisha
Dhadkan hiyo na huyo demu anaitwa Shilpa Shetty
 
ROWDY RATHORE..
akshay kumar akiwa ni askari jasiri na shupavu aliweza kumaliza tatizo la ujambazi katika eneo alilopewa majukumu...
sifa zake zilitamalaki katika ngazi zote za jeshi.
hii ilipelekea ahamishwe sehemu nyingine ambapo alienda kukutana na mambo hakuyategemea!
siku amefika katika kituo cha kazi akiwa na mwanae wa kike aliposhuka kwenye tren tuu wakora wakamfata wakitaka pesa bila kujua ni mtu gani.
aliwatandika na miwa hadi wakajinyea kisha akachukua pesa zao na kuwarudishia raia walioporwa!!
akiwa amepokelewa na askari walio chini walitambua kwamba akshay alikuwa amefiwa na mke wake...

katika wale askari wake mmoja aliulizwa na akshay wee mkeo yuko wapi naona unaishi tuu na watoto..!
akaogopa kusema hadi watoto wakasema kwamba mama ametekwa!

yule askari akamwelezea kwamba kuna DON hapo kijijini amemteka mke wake na kila akienda kumdai anaambiwa arudi baada ya siku 3...yaani kibabe unamuona mke wako analiwa halafu unaambiwa njoo baada ya mda umchukue..jamaa kinyonge anaondoka..

hapo ndio visa na mikasa inaanza!
ni muvi nzuri sana.
Habar,

Bado upo jamvin???
 
Bonge la mkwaju, Sunil karud amekuwa don, kakuta mchumba kashaolewa, kaenda kamfukuzia demu dem nae kasha pagawa na Akshay , Sunil ikabd atumie pesa kanunua mjengo wao kawatimua , bila kubeba chochote hatali sana hii movie sichoki kuitazama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom