Msaada hii movie ya Suniel Shetty inaitwaje?

Juma Khan acha miyeyusho.

Mimi nimeangalia hii muvi kwenye banda la video. Big M Mwananyamala kwa Kopa. Ikiwa imetafsiriwa.
Mzee mwenzangu mimi nimeangalia MOVIE kwa kopa pale ilipo Sheri(PETRO STATION) sasa kwa mkubwa tulikuwa tunamuita KWA DOLE au kwengine hapohapo kwa kopa tunakuita KWA MSHALE pale wanapopaita PEACE ilipo BAR kulikuwa JALALA la TAKA alikuwa anashinda tu CHIZI fulani tulikuwa tunamuita CHEGELUMA pale kwenye V Ambapo kuna muembe alikuwa KINYOZI
ni kwa uchache hayo tu hayo mzee mwezangu Edhi ya TV zinapamba moto

Na MWANANYAMALA nzima mtu wa kwanza kumiliki TV ni MAMA MKAMBA nyumba yake inaangalia ROYAL BAR
 
Mkuu hauna safari za kuja chuga aisee? Yaani nimetamani asee.
Hebu tuone hilo l animation..mimi ni mkusanyaji wq muvi ila wewe kiboko aise
Mkuu hauna safari za kuja chuga aisee? Yaani nimetamani asee.
Hebu tuone hilo l animation..mimi ni mkusanyaji wq muvi ila wewe kiboko aise
Chuga hapana mzee baridi la huko si mchezo
Siku ukija DAR nicheck nipo na LAPTOP na EXTNAL 4TB ila shart langu EXTNAL yangu haiingii kwenye LAPTOP ya mtu wewe njoo na EXTNAL yako nakuwekea tu nitakuwekea
ANIMATION
20210702_234251.jpg
20210702_234920.jpg
 
Mzee mwenzangu mimi nimeangalia MOVIE kwa kopa pale ilipo Sheri(PETRO STATION) sasa kwa mkubwa tulikuwa tunamuita KWA DOLE au kwengine hapohapo kwa kopa tunakuita KWA MSHALE pale wanapopaita PEACE ilipo BAR kulikuwa JALALA la TAKA alikuwa anashinda tu CHIZI fulani tulikuwa tunamuita CHEGELUMA pale kwenye V Ambapo kuna muembe alikuwa KINYOZI
ni kwa uchache hayo tu hayo mzee mwezangu Edhi ya TV zinapamba moto

Na MWANANYAMALA nzima mtu wa kwanza kumiliki TV ni MAMA MKAMBA nyumba yake inaangalia ROYAL BAR
Dole mkubwa marehemu.

Kinyozi alihamia ofisi ya DAWASCo upande wanapochukulia maiti hospitali ya Mwananyamala.

Hiyo muvi mimi nimeiangalia pale Big M na muonyesha muvi alikua mshkaji anaitwa Mzee bwana wake Hapendeki.
 
Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri.

Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu wa Sunil Shet waka mpa binti yao Akshay Kumar amuoe binti alikuwa hana sauti juu ya wazazi wake.

Mzee mzima Sunil Shet akawa amesharudi kuhaso akafanikiwa kupata pesa nyingi akawa Don kwa bahati mbaya mama yake akafariki akachomwa moto.

Basi Sunil Shet (Devi jina alilotumia) akaenda kwao na demu wake akaambiwa ameshaolewa na kijana mfanya biashara Sunil Shet akachanganyikiwa akamfatilia hadi Delhi.

Akafanikiwa kukutana na demu wake hakuamini kumuona msela aliyeachana nae na kwenda kutafuta maisha
Sunil alikua maskini, baba yake huyo demu akamuwekea briefcase mbili mbele yake achukue moja.

moja iko empty, aichukue akaijaze hela ailete ndio amuoe huyo binti.
ya pili imejaa hela, aichukue akafie mbele na aachane na huyo binti maana siyo size yake.
jamaa akayaache yote mawili, ndio akapotea kwenda kuhustle.
 
Ghajini hii movie ya Amir khan, ina love story ya ajabu sana, hua nikifikiria nashangaa sana.
Kuna msicha anaitwa kalpana alikua anafanya kazi kwenye kampuni ndogo ya kutegeneza matangazo madogo madogo( maya puri), Kampuni ya simu airtel walikua wanataka kununua nyumba hilo eneo waweke bango lao ta tangazo la simu, MD wa airtel Sanjey Singhania ( Amir khan) akawatuma watu wake waende kuelewana ma mwenye ile nyumba ambaye alionekana kalpana,

Wale maafisa ya airtel kufika pale wakaulizia kalpana, watu wote pale wakashangaa huyu dada anauliziwa wa nini na maofisa hao wa airtel, mkuu wa ile kampuni ya matangazo anapofanya kazi kalpana wakamzushia kalpana kwamba MD wa airtel anakutaka kimapenzi ndo mana kawatuwa watu wake wamshawishi, Yule msichana kwa kuona ni sifa kuvumishiwa anapendwa na tajir mkubwa wa airtel akasema ni kweli jamaa ana mtaka, ile habari ikasambaa mji mzima MD wa airtel anatembea na kalpana, wakaja waandishi wa udaku demu akasema MD wa airtel alikutana nae kwenye ndege akamtongoza aka mkataa, kashfa ikakua kampuni yao ikawa kubwa ikapata matangazo mengi na demu akawa ndo kiongozi wa kila matangazo.

Kashfa ikarushwa kwenye tv na MD wa airtel akaiona akasema mimi simjui huyo kalpana akaamuru waende wamuone na amchukulie hatua.
Nitaendekele aiseee
 
Hii muvi jamaa alipigwa mwanzo tu na lile chuma uko mbele hamna famba yyt aliemgusa bonge moja la muv
 
Rufufu mungu anamuona aisee.. Sunil Shet yeye alikua anamuita Shurusheti.

Kuna muvi inaitwa Tere naam ya Akshay bonge moja la muvi. Napenda sana Bollywood movies sema sina pa kuzipata mpaka nikiwa na muda niangalie B4U movies. Nina nyimbo za kihindi 500 zote video usiku napenda kulala nazisikiliza
Kuna baadhi ya movie za kihindi zipo Netflix
 
yule hatafsiri bali anahadithia kifuatacho kwenye muvu
Hii movie LUFUFU hakuwahi kuitafsri
Hii MOVIE kipindi inatoka LUFUFU miaka ya elf 2000 mwanzoni LIFUFU alikuwa ndio anaacha kutafsiri MOVIE so hii movie hakuwahi kudeal nayo
 
akshay ni bingwa sana wa muvi..
ila shahrukan na jon abraham ni hatari sana!
FAN- hii muvi ya shahrukhan ni nzuri kupita maelezo hutachoka kuitazama mwanzo mwisho..
shootout at wardala-john abraham ni muvi nzuri sana pia ya kibabe kupita kiasi!pia napenda dialogues zao kwenye hii muvi..
ROWDY RATHORE-akshay kumar ni muvi moja nzuri sana pia!!utacheka kwenye hii muvi pia utapata huzuni sana.
DRISHYAM-ajay devgan ameitendea haki hii muvi.haina vurugu lakini ukiingalia itabaki kwenye akili yako siku nzima ukiifikiria.jinsi mtu alieacha shule akiwa darasa la nne na kuwachezea akili jeshi zima la polisi hadi wakanyoosha mikono juu.
 
Kuna movie inaitwa Chandni ..
Ya zamani ..sridevi ..

Halafu kuna Amar ..akabar .. Antony..amitabh bachan..

Halafu kuna movie ya Hema malini alitupwa kwenye mto wenye mamba ..nimesahau jina..

Disco dancer ..

Na kuna movie moja ya Ajay na Salman Khan
Nimeisahau jina Ila story inahusu
Ajay alimuoa dada nafikiri ni Aishwarya..kumbe Aishwarya Yuko in love na kijamaa mwanamuziki underground..ndo Salman..

Ajay baada ya kuona mwanamke alie muoa full kisirani akaona Bora ampeleke kwa hiko kijamaa..wakaenda hadi Italy wanamtafuta huyo jamaa...Ile journey ndo ikawafanya wazoeane ..wakaanza kupendana..
By the time wanakkipata kijamaa... mwanamke hamtaki tena anamtaka mumewe..

Wahindi wanajua kuandika
 
Chaahat
Shahrukh Khan. Jamaa ni maskini yuko na dingi. Wanaenda kusaka pesa mjini. Mwamba anafika mjini anakutana na mdada (Pooja Bhatt) anampenda. Anapata kazi mahali ya kuimba. Kwenye bar ya ( nasreedin shah). Mtoto wake boss anampenda. Kifatacho ITV, jamaa hampendi mtoto wa boss. Boss hapendi kuona mtoto wake analia. Alooo, jamaa anapitia misukosuko. Anatoroka, lakin boss anamsaka na kumpiga jamaa pamoja na baba yake. Baba yake anakufa. Jamaa anavunjwa miguu yote. Alooo, inahuzunisha Ile movie. Jamaa anafunga magogo kwenye miguu halafu anarudi kwa boss. Alooo, ni sooooo.
 
Balaa balaa ile movie dah ataly sana,,
Ila mara nyingi combination ya akshay na sunnil inakuaga superb..
Kuna movie nyingne inaitwa mohra akshay na sunnil nayo moto sana songs na story bonge ya movie..
Mohra imepangwa vzr sana,huku Akshay,huku Sunnil huku Nassurudin shaa
 
Baaazigar
Shahrukh Khan
Baba yake shahrukh ana kampuni na Mali. Ameajiri watu wengi tu. Kuna jamaa alikuwa maskini ana watoto wawili wa kike. Hapo shahrukh bado mtoto kama miaka 6 hivi. Anamuajiri huyo maskini baba wa wasichana wawili (Dalip tahil). Baada ya jamaa kuajirriwa anafanya kazi anakuwa maarufu na anaaminiwa na boss (baba yake SRK). Boss anapata safari anaenda nje ya nchi anamuachia kampuni Dalip tahil. Jamaa na tamaa zake anabadili hati miliki ya kampuni na jina anabadilisha. Boss kurud Hana chake. Anabaki mtu anafilisika anakuwa maskini wa kutupwa. Katika majanga ya njaa na stress baba yake shahrukh anakufa na mdogo wake shahrukh anakufa. Anabaki mama na shahrukh mwenyewe. Alooooo, hapo bado mtoto kama 8 years. Maisha yanaenda miaka inaenda, jamaa anakulia kijijini anakuwa mkubwa 28-35 years. Anaamua kuondoka kijijini kwenda kutafuta life mjini. Anamuaga mama. Alooooo, jamaaa ana machungu. Alooo, anaomba lift kuja mjini. Anafika anachunguza adui yake. Anajua adui yake aliyemuibia baba yake kampuni anapenda michezo ya kushindana ya magari. Alooooo, jamaa anajitosa kwenye mashindano ya magari. Siku ya competition, adui yupo naye yupo. Wanashindana jamaa anaongozaa mwanzo mpaka Karibia na mwisho. Anashika brake, anamuachia adui wa baba yake ashinde. Maksuuuuudi. Adui anafurah anasheherekea na Binti yake mkubwa. Alooo, wanamfata mtaalam kuja kumpingeza. Imetick. Binti wa adui anampenda msela. Alooooo, .........msela anamtafuta Binti wa pili wa adui wanakuwa wapenzi. Alooooo, jamaa anatembea na ndugu wawili kwa wakati mmoja......interval....bonge ya movie. Unfortunately msela alikufa. Aloooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom