Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

Nenda hospitali ukifika omba kuona na daktari mzee. Achana na madaktari vijana wa skuizi
 
Kabla ya yote kanunue iodine tincture halafu mwagia,halafu subiri kwa siku 3 uone je kina dalili ya kupona? Kama ndio usimeze dawa yoyote kapime sukari ujue kiwango. Na Kama hajuna dalili ya kukauka au kupona kapime magonjwa ya zinaaa Mkuu halafu Nipe mrejesho wa majibu pm
Chukua huu ushauri Mkuu,

✊✊✊✊ Kwa wote waliotoa ushauri bila kuchomekea maneno yasiyo na msaada kwa mtoa mada...

Omba huu uzi upelekwe JF Doctor, atakaye kuja kule ni kwa ajili ya msaada tu na si jingins hasa ukizingatia umeweka na picha kama hizo.

Pole kwa changamoto, Kua makini na afya yako.
 
Mkuu Ungetoa maelezo ya kueleweka kusingekua na haja ya kuweka picha, Hufichi maradhi bali Utu wako,
Binafsi mimi mwenyewe nimehisi aibuu, nimefungua uzi sikutarajia kama umeweka picha.....

Nimeandika hivi kwa mtazamo, ila kama kweli huoni shida basi Sawa niwie radhi
 
Pole sana mkuu.

Wahi Hospital.

Ila jitahidi katika usafi wa nguo za ndani na usafi kwa ujumla.

Usafi ndio kila kitu katika haya maisha.

Hakuna mtu atayekwambia uwe msafi usipojisimamia mwenyewe kuwa msafi.
 
Kuna vipele ambavyo kitaalam vinaitwa genital warts hutokea sehemu za siri vingine vinakuwa vingi au kinaweza tokea kimoja kama hicho cha mleta uzi, ukikitumbua kinatoka damu nyingi vinasababishwa na kirusi kiitwacho HPV unaambukizwa kwa kujaamiana na mtu mwenye nao
Asante
 
Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha

Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona

Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi

Kinakaa kinavimbia utadhan usaha kumbe kinavimbia damu tu

Nakosa hata raha ya kuwaza kushiriki tendo la ndoa
Kinakua kinavimbia damu tu kila mara na inakua hivyo bila kupona nisaidieni nitumie dawa gani kikauke na kipone?Nilikua natumia hair removal kushave nywele nimeacha kwa maana ilikua ikinichubua huko mpaka sasa nahofia kufanya hivyo maana ninahofia kitachubuka zaidi
Chunga Sana shavers hua ndo source unless punguza uzinZ
 
Aise pole
Hayo maumivu hasa wakati wa joto yatakuwa mengi.

Humu jf pia wapo doctors ngoja waseme.

Pole son.
 
Kuna vijipele hutokea mtu akijinyoa, labda alijinyoa kikatokea akakipasua na kuendelea kukikuna kutokana na muwasho

aende hosp sababu nimeona nyuzi zake mara fangasi mara uume mwekundu.

Lakini pia azingatie usafi inaweza changia hayo maradhi yake
 
Ingekua vimetoka zaidi ya kimoja ,yes tungesema ni Genital wart.
Mbona hata kimoja pia kinatokaga, hpv ina aina nyingi, kuna jamaa yeye kilikuwa kinatoka kimoja tu kilimtoka kwenye pumb..u akapaka dawa kikapotea baadae kikatoka kwenye paja pembeni ya pumb..u
 
Back
Top Bottom