Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

Ni mchubuko tu huo wa kawaida.. Sema kwa nature ya ngozi ya sehem za siri huwa inakuwa na layer ya mafuta ndo maana kidonda kinachelewa kupona.

Pia anahisi kina usaha, kiuhalisa hakuna usaha ila ni ngozi ya ndani nyeupe ambayo ni layer ya fat(mafuta)

Cha msingi ahakikishe anapunguza mazingira ya unyevu nyevu sehem hizo na kuepuka kuvaa nguo za kubana
Pia nilitumia hair removal ilikua inanichubua mno mkuu
 
Kuna vipele ambavyo kitaalam vinaitwa genital warts hutokea sehemu za siri vingine vinakuwa vingi au kinaweza tokea kimoja kama hicho cha mleta uzi, ukikitumbua kinatoka damu nyingi vinasababishwa na kirusi kiitwacho HPV unaambukizwa kwa kujaamiana na mtu mwenye nao
Dawa ya HPV ni nini?
 
Inapatikana wapi na bei gn
Hii huwa haizidi elfu 5!! Pharmacy yoyote unapata..
images%20(7).jpg
 
Kabla ya yote kanunue iodine tincture halafu mwagia,halafu subiri kwa siku 3 uone je kina dalili ya kupona? Kama ndio usimeze dawa yoyote kapime sukari ujue kiwango. Na Kama hajuna dalili ya kukauka au kupona kapime magonjwa ya zinaaa Mkuu halafu Nipe mrejesho wa majibu pm
 
Shilingi ngapi hiyo iodind tincture?
 
Kabla ya yote kanunue iodine tincture halafu mwagia,halafu subiri kwa siku 3 uone je kina dalili ya kupona? Kama ndio usimeze dawa yoyote kapime sukari ujue kiwango. Na Kama hajuna dalili ya kukauka au kupona kapime magonjwa ya zinaaa Mkuu halafu Nipe mrejesho wa majibu pm
Ngoja nichek pm yako
 
Back
Top Bottom