Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

Pole sana.

Fika kituo cha afya cha karibu, utapata msaada.

UKISHINDWA kwenda kituo cha huduma za afya cha, fanya hivi..

Nenda Maabara iliyopo mtaani kwako.. waambie unataka kupima SYPHILIS.

Matibabu yatategemea majibu ya kipimo, sio vibaya ukapima na UTI kwa pamoja na HIV pia.

Ukipata majibu unaweza kwenda pharmacy ya karibu au unaweza KUNITUMIA JUMBE BINAFASI (JB/PM) nikakuandikia dawa.

Karibu.
 
Nenda hospital utapewa dawa na maelekezo
Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha

Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona

Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi

Kinakaa kinavimbia utadhan usaha kumbe kinavimbia damu tu

Nakosa hata raha ya kuwaza kushiriki tendo la ndoa
Kinakua kinavimbia damu tu kila mara na inakua hivyo bila kupona nisaidieni nitumie dawa gani kikauke na kipone?Nilikua natumia hair removal kushave nywele nimeacha kwa maana ilikua ikinichubua huko mpaka sasa nahofia kufanya hivyo maana ninahofia kitachubuka zaidi
View attachment 1900773
 
Nenda hospital kubwa. Watafanya culture Ili kujua ni aina gani ya vimelea vinavyosababisha hali hiyo. Na kwa kuvitambua watajua ni dawa aina gani itakusaidia. Pole sana.
 
Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha

Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona

Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi

Kinakaa kinavimbia utadhan usaha kumbe kinavimbia damu tu

Nakosa hata raha ya kuwaza kushiriki tendo la ndoa
Kinakua kinavimbia damu tu kila mara na inakua hivyo bila kupona nisaidieni nitumie dawa gani kikauke na kipone?Nilikua natumia hair removal kushave nywele nimeacha kwa maana ilikua ikinichubua huko mpaka sasa nahofia kufanya hivyo maana ninahofia kitachubuka zaidi
View attachment 1900773
Nenda hospital wafanye kipimo, miezi 3 ni mingi mno inaweza kuwa ni maambukizi ya syphilis ( Kaswende)
 
Unahitajika kusafisha damu, kuna kitu watu hawaja note huwa kinaweza kukauka kwa njee alfu ndani kikavima na ukikigusa unaweza sema unajipu na ukikikamua kunatoka damu, sio ishu ya cream ni damu chafu mkuu. Dawa ya kusafisha damu ninayo na ukitaka kufanya diet mwenyewe tumia mbogamboga zenye iron Florine kwa wingi mfano, Mchunga, mnavu na matunda na kuachana na vyakula vyenye mafuta kwa wingi na vyenye cholesterol nyingi.
Ni lazima kutibu source ya ugonjwa na sio symptoms. Jitahidi kufunga fasting inasaidia hata mara mbili kwa wiki ukishindwa waweza kufunga ukanjwa maji tu hii itakusaidia kusafisha mwili mzima.

Nake Truth.
 
Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital ambapo kwa bahati mbaya niliambiwa Bima yangu haijawa activated hivyo nikakosa huduma..

Halaf hichi kidonda hakikuwa na association yoyote au uhusiano na history yangu ya kuugua kabisa maana kuna watu walikua wanafukua thread zangu sijawah kuugua magonjwa ya zinaa kabisa maishani mwangu na wala sio mtu wa kujiachia sana, ni muangalifu sana nina mpenzi mmoja tu mwaka wa 8 huu

Nikamcheki dr mmoja nguli mwenye hospital yake kupitia watsaap nikamuelezea akanambia niende matibabu yake ni elfu 75 kwa kuanzia..Nikaona ngoja nisubiri kwanza

Nilishauriwa niende duka la dawa pia lakini wakati nikiwa kwenye kuwaza nichague chaguo lipi maana kilikua kimevimbia damu, nikasoma kitabu kimoja hivi ambacho nilikua nacho cha anti bacteria and anti viral herbals ambacho nilikua nimekinunua nikawa nimekipuuza tu muda mrefu kujisomea ndo nikakuta kwamba aloevera na kitunguu swaumu kwa pamoja vinakausha vidonda na ni antiviral na antibacterial pia...

Nikatafuta aloevera maana nimepanda nyumbani, nikaikata ule utomvu wake nikaukamua nikakoroga pamoja na kitunguu swaumu kilichosagwa nikapaka then nikapafunga na bandeji ili hiyo dawa isitoke nikafanya hivyo kwa kuweka aloevera na kitunguu swaumu asubuhi na jioni

You can't believe kidonda kimekauka ndani ya siku 2 tu
Baada ya kukauka nikawa naendelea kupaka kama siku 7 hivi kimepona kabisa uvimbe umekwisha yaani ukiambiwa nilikuaga na kidonda kikubwa hapo mahali huwezi amini panavyoonekana utadhani hapajawahi kuwa na uvimbe na kidonda..
 
Back
Top Bottom