Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,488
Nipo cafe shop hapa nimeagiza Juice natural mixer ya embe passion, Tende,Chungwa na Nanasi, sasa najiuliza sijatengeneza sumu kweli hapa.
Tafadhali wataalamu wa afya njoon huku na wale wa chemistry
Tafadhali wataalamu wa afya njoon huku na wale wa chemistry