Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Kaka hiyo sehemu naifahamu ila naiogopa nlisha wahi ipeleka laptop yangu ili haribika display ilikuwa haionyeshi walitengeneza lakini wakanipa tatizo lingine bila mimi kujua kwa mda ule, pc ilikuwa slow balaa wakati mwingine hata kuchek movie ina stuck,
 
Pia gpu yake naijuaje?

gpu take utaona kweny graphic properties

njia rahisi kwa wewe ni download app inaitwa cpu z kisha install kweny pc yako.itakupa details zote unazotaka kufaham kweny mashine husika.
 
Pia gpu yake naijuaje?

Click start then andika dxdiag kitakuja ki app kiclick then utapata full specs.

Pia unaweza kwenda my computer halafu properties then system rating halafu click print zitakuja details zote za computer.

Ila kama pc haina driver za graphics huwezi tumia njia za juu itabidi utumie njia ya kcamp
 

Hizo mambo mnaangaliaje unapo nunua laptop
 
Hizo mambo mnaangaliaje unapo nunua laptop

asilimia kubwa ya laptop hazina dedicated graphics, na kama ina dedicated graphics kitu cha kwanza kabisa utaona sticker kwenye laptop ya nvidia au ATI/AMD

then ukishaona sticker angalia specs za ndani za hio gpu. zipo njia kibao za kuangalia unaweza search neno dxdiag kupitia windows au ukaenda system ratings ukafanya kama unaprint au ukadownload software kama cpu-z/gpu-z nk
 
Nina compaq min je hii mashine iko sawaa, maana imekufa betry nataka ntafutie betry au ninunue nyingnee tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…