Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Attachments

  • IMG-20220623-WA0000.jpg
    IMG-20220623-WA0000.jpg
    87.6 KB · Views: 14
Mkuu hii machine vipi? Nacheza game zote?
Machine nzuri mkuu na Bei ni Fair sema haifai kucheza games.
1. Quadro Gpu ni za proffesional wanaotumia mambo ya Cad, kurender graphics etc. Perfomance yake nimeicheki pia ni ndogo inapitwa hadi na Gpu lowend kama Gt1030, rx 550 na gtx 750ti.

2. Cpu kali ina core 6 na thread 12 ila itaangushwa na Hio Gpu.

Kama mkuu unayo hio laki 8 ushauri wangu nunua gpu Rx 6400 ni around $160, mpaka Bongo pengine ikaku cost 450,000.

Then Tafuta desktop yoyote used, gen ya 8 unapata siku hizi laki 3 mpaka 4, pachika Gpu yako enjoy maisha.
 
Shukran mkuu.
 
Mkuu kama kuna chimbo unalifahamu nielekeze nitembelee..

Nimewachek discout kubwa wamenambia hawana.
 
Back
Top Bottom