HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Witcher 3Battlefield 4.
Witcher 3Battlefield 4.
Battlefield 4.
![]()
kwa low setting unafika hadi 69fps
![]()
kwa low setting unafika hadi 69fps
anandtech 1080p (full hd kubwa kuliko yako) fps 93
![]()
hapo hata ukirekodi still 60fps haitashuka.
benchmark nyengine yenye details zote 720p, 900p na 1080p
![]()
seems concept ya gpu/cpu bottleneck hujailewaRusha benchmark ya utrahigh settings kwenye graphics. Processor weka i7 2600@ 3.4ghz
seems concept ya gpu/cpu bottleneck hujailewa
1. unapotest gpu lazima utumie cpu kubwa, kwanini tunafanya hivi? sababu ukitumia cpu ndogo fps zinaweza kuwa ni bottleneck ya cpu hivyo tunatumia cpu kubwa ili tupate potential ya gpu. ukiwa na machine yako then ukapata fps ndogo zaidi ya hizo ina maana cpu yako ndio inayoikwaza gpu
2. same kwenye cpu, ukitest ubora wa cpu kwenye games inabidi utumie gpu kubwa ili ujue potential ya cpu ukitumia gpu ndogo utapata perfomance mbaya mwisho wa siku utaona cpu kimeo kumbe ilikuwa ni gpu.
kuhusu hio gpu zipo AMD 7950 aka r9 280 zinapatikana same price na 750ti lakini zinakula umeme zaidi ya mara 3 ya 750ti. na utapata perfomance gain kama 60% hivi au zaidi
kwenye load 750 ti inadraw 60w
wakati 7950 inadraw 200w
hivyo kama unaamua kwenda route ya amd pengine utahitaji kuchange na power supply ya pc.
angalia juu post ya battlefield picha ya chini ina 720p katika ultra na still unapata 60+fpsRusha benchmark ya utrahigh settings kwenye graphics. Processor weka i7 2600@ 3.4ghz
Mkuu CHIEF MKWAWA aisee nimekuwa nikifuatilia mijadala yako KIMYA KIMYA sana kwanza naomba sana sana nikupongeza, kwa ushauri wako unaoutoa hapa wengi tunapata kama somo na kuweza kuelewa mengi juu ya hii technology kwa mapana yake.
Mimi huwa sio muandikaji kabisa humu JF ila leo nimeguswa nikuulize jambo mimi naishi USA kuna mdogo wangu anahitaji PC na nimeshamchukulia hiyo PC nasubiri kuisafirisha nyumbani aweze kuitumia.
ila aliniambia angependa Pc kwa matumizi tu yake binafsi ya nyumbani NET na nadhani atacheza game nikiutazama UMRI wake wa 20-25 lazima atakimbiza game.
Chief Mkwawa sasa hii pc ndio nimemchukulia naomba ushauri wako laa kama haitamfaa nibadilishe kabla sijaituma maaana ninaweza kuibadilisha nikiwa huku kabla sijaituma
- 4th generation Intel Core i5-4570T processor
- 12GB PC3-12800 DDR3L-1600 SDRAM Memory
- 1TB SATA 6G Solid State Hybrid Drive with 8GB SSD cache
- 27" touch-enabled IPS Full HD (1920 x 1080) LED backlit edge-to-edge display
- NVIDIA GeForce 830A with1 GB DDR3, Wireless keyboard / mouse. 2 USB 3.0, 3 USB 2.0, 1 subwoofer out, 1 HDMI, 1 headphone/microphone combo, 10/100/1000BASE-T Gigabit Ethernet LAN port, Integrated speakers with Beats Audio, 3-in-1 memory card reader, 802.11a/b/g/n/ac MIMO technology, Bluetooth 4.0, 720p HP HD Webcam with integrated microphones, Windows 8.1 64-bit
angalia juu post ya battlefield picha ya chini ina 720p katika ultra na still unapata 60+fps
hivyo unatakiwa uangalie cpu sasa na sio gpu
hakuna vifaa kaka, na wala hakuna mahala unapoweza kupewa kwa muda ukafanyia review. unakuwa upo limited sana.Sasa chief unaonaje ukifanya tutorials kwa lugha ya kiswahili youtube?
hakuna vifaa kaka, na wala hakuna mahala unapoweza kupewa kwa muda ukafanyia review. unakuwa upo limited sana.
gpu za kutosha, cpu za kutosha, ram, psu, motherboard nkVifaa kama vipi?
gpu za kutosha, cpu za kutosha, ram, psu, motherboard nk
Ah, Yani hapo processor ni kubwa hiyo. halafu pia graphics settings ni za chini sana kwa mimi siwezi cheza game yeyote chini ya medium settings. Ndiyo maana nikasema kwa serious gamer haimfai.
unaweza kunitajia budget ya hiyo pc? umeshaconsider laptop vs desktp? maana huku kwetu laptop zinaleta sense zaidi kutokana na vitu kama umeme mdogo, mgao wa umeme nk.
processor- i5 4570t ni processor nzuri na inatumia umeme kidogo ila weakness yake ina core mbili (kama i3) tofauti na i5 nyengine zenye core 4
memory- zote ram na hdd zipo ok hazina neno na ni nzuri ila kama kuna port ya ziada zaidi muekee ssd hata ya gb 128 kwa ajili ya kuekea os.
gpu- hii 800 series hakuna version za desktop so bila wasi wasi hii itakuwa ni gpu ya laptop na vram yake ni ddr3 hivyo n useless kwenye gaming, nimecheki perfomance yake ni ndogo sana
monitor- 1080p ni ok hata mimi napendelea hio size na resolution kwa huku kwetu ila angalia refresh rate yake nzuri zinaanzia 60hz lakini ni vyema ikapita 100 ikawa around 144hz hv pia kama anampango wa kucheza game kama ulivyosema inapendeza hio monitor ikawa na freesync au gsync ili kupata smooth gameplay/visual
budget ni muhimu ukiniambia naweza kupa recomendation nyengine.
hayo maduka makubwa pia hawana hivyo vitu, niliwahi zungukia miezi kadhaa iliopita ukipata kitu latest basi ni haswell, vitu vipya kama ddr4, skylake chips, gpu nk ni nadra kuvipataHauwezi kuongea na watu wa maduka makubwa wanaofanya biashara hizi? Ukawaonesha kuwa kuna room ya kufanya biashara nawe?
Mkuu Chief Mkwawa Nimekupata sana HII PC ni 27 inch All in one computer Desktop na sio laptop mimi nilimnunulia baada ya kufika pale HP nakuona ni model nzuri kimuonekano na ina speed sana.
nilitaka kujua vitu technical ila umenisaidia sana naweza kwenda dukani na nikaibadili tu hawana shida sijaifungua kwenye box na ipo na warrant ya 3 yrs from HP manufacture.
Hii PC nilinunua usd 1200 na warrant nikaongeza 200usd on top. na pia walinipa certificate ya kuapgrade windows kwa muda wote ikiwa kwenye warrant na MS OFFICE na Antivirus pia.
Kwa iyo nitakapo opt kubadili najua kama naenda kwenye newer nita add some cherges kutokana na mabadiliko ila sio kitu mkuu
naomba unipe spex za HP all In One Pc itakayokuwa imetimia kwa ushauri wako nitaibadili tu naweza spend mpk 1700usd kwa huku. kwa sababu sasa sina ujanja lazima iwe HP maana nilishanunua kwao.
Nadhani mkuu ukiingia www.amazon.com utaziona hizi pc unaweza nipatia link ambayo ni recomended spex mimi nikawafuata tu.
nakushukuru sana sana CHIEF MKWAWA
Mkwawa yangu siwezi kuangalia video za face book nn tatizo youtube iko fresh ila za kwenye blog na facebook msaada tafadhaliGpu muhimu tena sana kwenye games, elewa concept hii itakusaidia kufanya maamuzi.
-kila cpu inakuja na gpu yake ya ndani
-si dedicated graphics zote zina nguvu kushinda gpu zinazokuja na cpu
Hivyo unaweza nunua laptop yenye gpu ya nvidia ikawa kimeo kushinda hata laptop isio na dedicated gpu.
Kujua gpu nzuri ya nvidia unatakiwa uangalie namba ya yapili (yakatikati) hio ndio inamaanisha power
Mfano angalia hizi score za benchmark
Nvidia gtx 275 = 1215
Nvidia gt 610 = 356
Kikawaida ukitajiwa 610 na 275 utasema 610 ni kubwa ila kwenye gpu mambo yapo tofauti 275 ni kubwa sababu namba ya katikati ni kubwa namba ya mwanzo ni version tu.
Hivyo angalia hio gpu ya nvidia kama ni
X10
X20
X30
*x inaweza kuwa namba yoyote
Achana nayo ila kama namba ya kati ni 4 kupanda juu ni nzuri, au kwa uhakika zaidi unaweza ileta humu tukaiangalia.
Kwenye gpu zinazokuja na processor tafuta atleast hd 4600 au intel iris pro ndio utaenjoy game kwa 720p