Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Attachments

  • 1451387889161.jpg
    1451387889161.jpg
    34 KB · Views: 64
Chief Mkwawa sorry kuvamia. Ninatumia Android kwenye tablet yangu. Unapoingia kwenye website inayotumia java inakuwa shida. Kuna njia rahisi ya kurun java kwenye android system?
 
java ni single threaded task inataka processor core yake iwe na nguvu sana na tablet ni kama simu tu.

ni tab gani? tuangalie soc yake.

pia kama ni task ya kawaida unaweza tumia browser kama opera mini na ucweb mini process zinafanyika kwenye server we unapata tu webpage ambayo ni nyepesi.
 
Ni samsung 10.1 2014 ed. Nilikuwa natumia browser ya chrome ikaniletea tatizo hilo, lakini nimejaribu kutumia browser iliyokuja na tab naona imekubali. Asante sana mkuu kwa response ya haraka.
 
Jamani naulizia graphics card za nvidia gtx 750 ti, nipata wapi dar zaidi ya Capricorn Technologies posta?
 
wanauza sh ngapi hapo? gpu hapa tz ni kubahatisha tu ila kenya zipo kama una mtu unamfahamu anaweza kukufanyia mpango
 
nimecheki bei ghali sana, zaidi ya laki 5.

kwa bei hio unaenda kenya unanunua gpu unarudi na change inabaki.

Bei kali halafu kadi yenyewe unacheza game za sasa at medium settings unapata average 35fps (without recording).
 
inategemea na resolution na monitor/tv yako kama ni HD almost game zote utacheza kwa 60+fps na kama ni full hd ndio itavary kutegemeana na game yenyewe.
 
Hapana monitor yangu ni 1440 x 900 resolution processor intel core i5 2500 @ 3.3, ni entrance card katika games nyingi za sasa.
 
inategemea na resolution na monitor/tv yako kama ni HD almost game zote utacheza kwa 60+fps na kama ni full hd ndio itavary kutegemeana na game yenyewe.

Hapana sio nzuri sana kwa serious gamer, monitor yangu ni 1440 x 900 resolution processor intel core i5 2500 @ 3.3, ni entrance level card katika games nyingi za sasa. Nikitaka kurekodi napunguza settings na resolution naweka 1366x 768. Hapo napata 21- 25fps average kwenye ETS2.
 
Ila nafikiria kutafuta mashine ya i7 2600 @ 3.4
 
trust me 750ti almost game zote kwa resolution hio utapata 60fps kupanda juu. kama huamini taja jina la game nitakuekea benchmark zake hapa.
 
Ila nafikiria kutafuta mashine ya i7 2600 @ 3.4

itategemea na game unayocheza kama una gpu bottleneck hata ukiongeza cpu haitasaidia.

pia kumbuka sandy bridge(generation ya cpu yako) na ivy bridge zinaingiliana motherboard hivyo kama unataka ku upgrade 3770 ni nzuri zaidi.
 
Back
Top Bottom