kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,669
nashukuru sana ndugu,na kwa hapa dar naweza ipata maeneo gani,pole kwa usumbufu.
k/koo/posta
nashukuru sana ndugu,na kwa hapa dar naweza ipata maeneo gani,pole kwa usumbufu.
Kaka ukiambiwa i5 au i7 haimaanishi kwamba computer ina nguvu hadi ujue aina hio ya i5 ni ipi.
Mfano i5 first generation ipo weak sana kiasi kwamba huwezi cheza games kubwa.
Ila hio i7 4710mq ya laptop ya sasa ni processor nzuri sana, hakuna games linalohitaji cpu zaidi ya hio hivyo hapa usiwe na waswas.
Hio graphics hujaitaja ni nvidia ipi, ukiitaja nitakwambia nguvu yake. Fungua software ya nvidia utaona jina lake
Ahaa yap naona hap ni nvidia geforce 750m
Ni low end video card ila kwa laptop inatosha kabisa. Utacheza game lolote kwa hd.
Yani hapo game lolote baba.Thanks mkuu kwa taarifa, ila game kama need for speed the rival, mortal kombat x, na GTA 5 itapush kwel hii mashine? Manake sijatest hata.
Thanks mkuu kwa taarifa, ila game kama need for speed the rival, mortal kombat x, na GTA 5 itapush kwel hii mashine? Manake sijatest hata.
Cpu haina shida hio, game lolote itacheza, ila gpu ndio sio kubwa sana. Ila kama nilivyokuambia kwa laptop inatosha sababu ukicheza games kwa hd quality yake ni nzuri tu.
Hizi ni gpu requirements za game na passmark score zake.
Gta v
Nvidia gt 9800 - score 727
Nvidia gt 750m - score 1354
Hapa upo juu ya requirement unaweza force pia full hd.
Need for spees rival
Hili linataka gt 8800 ambayo haitofautiani sana na hio 9800 ya juu na hili nalo litarun fresh.
Mortal combat x
Radeon hd 5850- score 2267
Nvidia Gtx 460 - score 2651
Nvidia gt 750m - score 1354
Hivyo hapo mortal combat upo below minimum litakusumbua game hilo, utapata lags za hapa na pale na fps ndogo. Ila unaweza kueka resolution ndogo zaidi (kama ipo) ili kucheza smoothly
Af kwa hizo score naona gtx iko vizur, nmechek ata online naona the highest rank ni nvidia gtx 980m ambapo maduka ya kibongobongo sijui kama zipo mashine zenye hiyo graphics!
Sawasawa mkuuGpu za nvidia just angalia namba ya katikati ndio inamaanisha nguvu ya gpu na namba ya kwAnza ni version tu.
Mfano gtx 940m na gtx 780m yenye nguvu ni 780m na sio 940m.
Hivyo hio 980m ndio yenye nguvu zaidi ila hata 780, 880 na 680 au 580 nazo zinakuwa nzuri.
Kuzipata hizo laptop ni ngumu sababu hawajui utofauti wake mfanya biashara anaangalia urahisi na faida. Akipata laptop ya gt 820m anajua hii hii itafaa kila kitu sababu ya lebo ya nvidia.
Mkuu hii numba inayoonyesha power ni ipi
Nvidia gt 9800 - score 720
Hii umesema 5 ndio inaindicate power
Nvidia gt 750m - score 1354
Na hizi graphic za Radeon utaijuaje ipi ina power kubwa kuliko nyingine
Mfano:
Radeon hd 5850- score 2267
HIZI SCORE ZINAMAANISHA NINI?
Mfano:
Radeon hd 5850- score 2267
Nvidia Gtx 460 - score 2651
Nvidia gt 750m - score 1354
Ooh hapo sasa nimekuelewaHizo graphics zenye namba nne ni za zamani mfano gt 9800 na zenye namba tatu ndio mpya mfano 980. Kwa ulimwengu wa sasa hakikisha kama unanunua graphics za nvidia ziwe zenye namba tatu kama 750, 840, 960 nk.
Kuhusu nguvu ya graphics unaangalia namba ya katikati kwenye hizo namba tatu.
810
820
830
840
850
860
870
880
Hapo 810 ndio ndogo zaidi na 880 ndio kubwa zaidi.
Hizo score ni benchmarks tu. Zinajaribu kuonyesha jinsi gani gpu moja ina nguvu kuliko nyengine.
Kila software ina requirement ya gpu yake hivyo kama gpu yako ina score kubwa kuliko gpu inayotakikana kurun software inamaana unaweza kuirun hio software. Na kama gpu yako ni ndogo kuliko gpu inayotakikana then kaaa mbali na hio software
nashukuru sana ndugu,na kwa hapa dar naweza ipata maeneo gani,pole kwa usumbufu.
Huu uzima umenipa mwanga mkubwa ila kwa namna nyingine umeni fanya niwe mpole maana nahisi laptop yeyote ntakayo I nunua kwa budget yangu inaweza ikawa nnje ya ubora, ila kabla cja kata tamaa bora niulize.
Laki 5 inaweza kupatikana laptop nzuri?
unapata used za kutegea lakini, kwa matumizi yako hakikisha processor inaishiwa na m kwa mbele.
pia kuna jamaa anauza laptop kupatana 800,000 nimeiona ina nvidia quadro na i7 quad 2nd gen
kama utaweza mshusha na we ukapanda kidogo ni laptop nzuri.
dell m4600
Yah yaonekana kuwa na mvuto na kukidhi haja yangu ila the real problem is that I am not fit financially na kwa sababu hiyo inabidi niitegee used au zali la mentali popote litakapo tokea.
Kesho nataka nka chek mjini unaweza kunipa mwongozo?
Yah yaonekana kuwa na mvuto na kukidhi haja yangu ila the real problem is that I am not fit financially na kwa sababu hiyo inabidi niitegee used au zali la mentali popote litakapo tokea.
Kesho nataka nka chek mjini unaweza kunipa mwongozo?