Msaada hapa kuhusu Laptop aina ya Nvidia

Kama unahitaji laptop nzuri kwa games nzito unatakiwa ujipange mkuu si chini ya 1m au kwa ushauri kwa nini usichukue game consoles PlayStation,Xbox na nyingine nyingi unaweza ukapata $200-400 kwa hapa bongo..au unataka kuplay pirate games za pc?
 
sina uwezo wa kununua PlayStation at the same time ninunue na PC..ndo mana nataka PC yenye kufanya vyote..
 
Mkuu kuna hii icheki kama itakufaa
SONY VAIO
Intel® Core™ i5-2430M Processor 2.40 GHz with Turbo Boost up to 3.00 GHz
Ram 4GB
HDD 500GB*4 (Serial ATA, 5400 rpm)
Graphics Accelerator AMD Radeon™ HD 6470M (SPEED MODE) / Intel® HD Graphics 3000 (STAMINA MODE)
Unaweza kuupdate AMD hadi HD 7400M
 
processor hyo ingekua 4th generation ingekua poa sana...nipe model niichek picha zke
 
Mkuu kuna hii icheki kama itakufaa
SONY VAIO
Intel® Core™ i5-2430M Processor 2.40 GHz with Turbo Boost up to 3.00 GHz
Ram 4GB
HDD 500GB*4 (Serial ATA, 5400 rpm)
Graphics Accelerator AMD Radeon™ HD 6470M (SPEED MODE) / Intel® HD Graphics 3000 (STAMINA MODE)
Unaweza kuupdate AMD hadi HD 7400M

Hio hd 6470m imepitwa speed mara 2 na hd4600 ambayo huja na processor za intel 4th generation
 
Kama unahitaji laptop nzuri kwa games nzito unatakiwa ujipange mkuu si chini ya 1m au kwa ushauri kwa nini usichukue game consoles PlayStation,Xbox na nyingine nyingi unaweza ukapata $200-400 kwa hapa bongo..au unataka kuplay pirate games za pc?
Tatizo mgao wa umeme, mfano hapa kwetu umeme umekatika kama mara 8 jana tu. Wanakata nusu saa wanarudisha. Ingekua sio mgao kuna desktop za core 2 quad q8400 zinapatikana as cheap as 190,000 ukitafuta power supply ya dola 30 ambayo ni bronze certified na gpu ya dola 100 kama gtx 750 una mashine inayocheza gta V kwa chini ya 500,000. Ten ukinunua used hata 400,000 haifiki
 
mkuu kuna Hii HP vip inafaaa? Hp pavilion g6-2228ca
 
tumlack kama unashindwa kupata laptop yenye dedicated graphics kwa budget yako tafuta yenye hd4600 kama gpu inayokuja na processor

Laptop yoyote yenye
-i3 40xxm
-i3 41xxm
-i5 42xxm
-i5 43xxm
-i7 46xxm
-i7 47xxqm
-i7 47xxhq

Utapata graphics hio na cpu yenye nguvu, then ukicheza games unaweka low settings kwenye quality ya graphics. Utacheza game lolote
 
Last edited by a moderator:

sawa mkuu.....hzi card naona pasua kichwa...
nmetafuta PC mpka laki 8 lakini sijapata yenye card nzuri...ngoja niangalie hizi za Intel HD ..kuna i5 hapa ya 3rd generation ina Intel HD graphic 4000 haifai?
 
Hd 4600 ni 30% faster kuliko hd 4000 hivyo kuna umuhimu kuwa na 4600.

Pia i5 na hd4600 madukani mpya nimeziona 850,000 inamaana i3 na hd4600 huwenda ikawa around 600,000 hadi 700,000. Tofauti ya i3 na i5 kwenye laptop si kubwa sana.
 
Gpu muhimu tena sana kwenye games, elewa concept hii itakusaidia kufanya maamuzi.

-kila cpu inakuja na gpu yake ya ndani
-si dedicated graphics zote zina nguvu kushinda gpu zinazokuja na cpu

Hivyo unaweza nunua laptop yenye gpu ya nvidia ikawa kimeo kushinda hata laptop isio na dedicated gpu.

Kujua gpu nzuri ya nvidia unatakiwa uangalie namba ya yapili (yakatikati) hio ndio inamaanisha power

Mfano angalia hizi score za benchmark
Nvidia gtx 275 = 1215
Nvidia gt 610 = 356

Kikawaida ukitajiwa 610 na 275 utasema 610 ni kubwa ila kwenye gpu mambo yapo tofauti 275 ni kubwa sababu namba ya katikati ni kubwa namba ya mwanzo ni version tu.

Hivyo angalia hio gpu ya nvidia kama ni

X10
X20
X30
*x inaweza kuwa namba yoyote

Achana nayo ila kama namba ya kati ni 4 kupanda juu ni nzuri, au kwa uhakika zaidi unaweza ileta humu tukaiangalia.

Kwenye gpu zinazokuja na processor tafuta atleast hd 4600 au intel iris pro ndio utaenjoy game kwa 720p

Naomba kueleweshwa hapo nilipo Bold... mtu akisema hivyo anamaanisha nn?
Je..kwa mtu anatumia PC kwa ajili ya rendering au 3D Modeling kwa kutumia software kama Artlantis, AutoCAD, 3Ds Max...etc mtu huyu ili aweze kufanya shughuli zake vizuri pasipo PC kufreeze au kuwa slow na kuunguruma sana sometimes unamshauri awe na graphic aina gani? ukiachana na mambo ya aina ya processor, RAM nk?
 
Kuna gpu za aina mbili
1. Inayokuja na cpu (igp) ambayo inakuwa integrated na processor
2.gpu isiokuja na cpu (dedicated) ambayo inakuwa mara nyingi ni ya nvidia au amd/ati

Hizi gpu zinazokuja na cpu (igp) hasa za intel zinakuja na technology kama quick sync ambazo zinafanya rendering upesi sana hivyo kuondoa umuhimu wa gpu za nvidia na amd kwenye mashine za bei rahisi.

Kuhusu kuunguruma inamaana power supply na mafeni/cooling system yamezidiwa uwezo na yanafanya kazi kubwa nje ya uwezo wao.

Kuhusu gpu nzuri inayokufaa inabidi useme budget yako na unataka laptop au desktop
 
Bugdet yangu 800K nahitaji Laptop
 
Bugdet yangu 800K nahitaji Laptop

Kwa budget hii itabidi utafute laptop yenye igp ya intel hd 4600 ambayo utaipata kwenye processor yoyote ya laptop inayoanziwa na 4 na kuishiwa na m.

i3 4000m
i3 4100m
i5 4200m
i5 4300m
i7 4600m

Morogoro road mjini zipo nyingi hizi laptop pitia maduka mbali mbali ziangalie chagua utakayopenda. Kama unaona ngumu pick unazohisi zinafaa leta specs zake hapa wadau watakusaidia kuchagua nzuri
 
Back
Top Bottom