Msaada gharama za kuanza clinic

Kama sipo serious sawa, ila si kupenda kwangu kuchelewa clinic, nyuma ya pazua kuna changamoto nazipitia na nshakwambia ila sijui kwanini unanisakama mwanaume mwezio badala ya kunitia moyo
Sorry braza
 
Kitendo cha mwana kumpiga mbupu dada yako, na kukupa msala wa kulea mimba, huku yeye akiendelea kupiga mbupu mademu wengine, na baadaye akipata mchongo aanze kukudharau ni cha kibwege sana.

You are over thinking boss.

Sometimes shit happens tu
 
Reading this while my GF hazioni period zake zimeenda wapi πŸ˜‚.

Aloo kumbe kuna kuanza clinic, mbaya zaidi kuna kuambatana kwenda clinic πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…