Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,126
- 6,764
Yap, kuna watu spem count zao ni ndogo, njia ya asili inawaletea shida kupata mtoto.njia ya asili...imeshindikana maana ake...??...
Yap, kuna watu spem count zao ni ndogo, njia ya asili inawaletea shida kupata mtoto.njia ya asili...imeshindikana maana ake...??...
sasa mkuu kama ulikua unafahamu haya mambo mbona ulikua unaniuliza?Yap, kuna watu spem count zao ni ndogo, njia ya asili inawaletea shida kupata mtoto.
Tatizo wewe unasema ni rahisi sana, sasa inakuwaje wanashindwa kupata watoto.sasa mkuu kama ulikua unafahamu haya mambo mbona ulikua unaniuliza?
Hiyo huduma ha IVF inapatikana "Mwanza Hospital" ipo mtaa wa Rufiji, karibu na uwanja wa Mbugani Shule ya Msingi. Bei ni around 10M to 15M. Kwa Contact nichek PM
Mi nakushauri Kama pesa unayo nenda Nairobi, nshawaona watu wawili waliofanikiwa kwa njia hiyo walifanyia huko, na gharama ni million 17 ila gharama hiyo inakuwa pamoja na accommodation Kama hauna sehemu ya kufikia Kama unapo pa kufikia inapungua, na failure rate yake ni ndogo Sana ukilinganisha na hapa bongo, ukizingatia unalipa pesa ndo unafanyiwa hata ikifail pesa hairudishwiHizo no nimeshindwa kuzisoma!