Naomba msaada juu ya huu ugonjwa wa ngozi

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Vilianza Kama vipele, baadae kukua na nimetumia dawa mbali mbali lakini vinakauka then kurudi, msaada tafadhali kwa anayejua suluhisho coz Ni miaka Sasa nateseka kujitibu

Natanguliza shukrani!
IMG_20230316_181555_5.jpg
 
Duh, pole sana... Kuna jamaa mmoja nilimuona nae alikuwa hivyo hadi nywele hazioti. Nikampa dawa moja ya Kimasai, inaitwa Oltemwai au Ndemwai... Akaja kunitafuta kwa shukrani. Tafuta hiyo dawa, ukikosa nitafute nikuuzie... Usisahau kuleta mrejesho.
Sawa mkuu tuonane pm
 
Kuna jamaaa miaka ya nyuma alikuwa na tatizo lakufanana na hilo ,alikuwa anachanganya sonaderm ile ya tube na mafuta nazi.Anapakaa kichwani.Jaribu wakati unaendelea kuwaona mabingwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom