Msaada: Gharama ya kupandikiza mtoto/mimba!

Kama bado unaamini majini inaonyesha jinsi gani bado hujaelimika
acha ujinga ndugu yangu! sema uwezo wako wa kufikiria na kuona umeishia hapo! lakini usiseme hivyo! huwezi ukajua kila kitu na huwezi ukaona kila kitu, aliye kwambia ukielimika ndio huzi kuona au kuamini majini nani? sema hayajakukuta! unafikiri shetani anaangalia elimu yako?
 
Hakuna cha shetani/majini/uchawi/ndumba/ulozi wala nini ni story za kusadikika tu. Hayajanikuta na hayotokuja kunikuta hizo story zenu za abunuasi.
 
elimu gani unayo izungunzia hapo? yawezekana wewe ndio huna elimu ya kutosha? unajiamini sana! elimu yako imeshindwa kujua risk za njia hizi za kutafuta watoto, kaelimu kadogo tuu uliko nako,basi unaona sasa na wewe unaelimu? acha kujikweza, Mungu aliweka njia sahihi za uzazi! kubalini kuelimishwa!!
Unajidhalilisha tu....
 
Kwanini usibebe mimba tuu ndugu? ujue mimba inaraha yake wewe na hapo utajua uchungu au utamu wa mwana! hizo njia unazotaka wewe hazitakusaidia chochote wala hutajua thamani ya mtoto.
Mkuu kwani na hii si sawa na kubebeshwa mimba lakini kitaalamu?Na anazaa kama kawaida!
 
Hakuna cha shetani/majini/uchawi/ndumba/ulozi wala nini ni story za kusadikika tu. Hayajanikuta na hayotokuja kunikuta hizo story zenu za abunuasi.
wewe sema experince yako imeishia hapo? usiseme story za kusadikika? kunavitu vingi vipo duniani lakini huvijui! na hautakuja kuvijua! ukisema hivyo inamaana, wewe unajua kila kitu sasa?dunia nzima!
 
Kwanini usibebe mimba tuu ndugu? ujue mimba inaraha yake wewe na hapo utajua uchungu au utamu wa mwana! hizo njia unazotaka wewe hazitakusaidia chochote wala hutajua thamani ya mtoto.
Watu wengine humu mnatabia ya kukurupuka ku comment bila hata kufikiria au sijui ndo mawazo mgando hivi kwa akili ya kawaida tu,unazani kaolewa jana leo kaamka kuja kuomba ushauri wa namna hii na hatamani kubeba mimba kama kawaida? mpaka ukiona mtu kafikia hapa ujue kaisubiri sana hiyo kawaida, ila bado hajafanikiwa
 
kwaiyo sasa unataka kusema nini? kama anashida sana na watoto, basi aende kule kwa watoto yatima achukuwe mmoja awalehe! kuliko iyo njia mnayo ng'ang'ana nayo!
 
hiyo nayo ni njia moja wapo mbadala, kupandikizwa kukishindikana ataifiria na hiyo yako, yote ni katika kutafuta
 
Watu wengine humu mnatabia ya kukurupuka ku comment bila hata kufikiria au sijui ndo mawazo mgando hivi kwa akili ya kawaida tu,unazani kaolewa jana leo kaamka kuja kuomba ushauri wa namna hii na hatamani kubeba mimba kama kawaida? mpaka ukiona mtu kafikia hapa ujue kaisubiri sana hiyo kawaida, ila bado hajafanikiwa
usinibabaishe wewe kila mtu anauwezo wake wa kufikiria sioni sababu ya kunitukana labda kama wanitafuta maneno
 
Kuna mahusiano ya mtoto tumboni na mama yake wewe acha utani.
Ni sawa, lakini upandikizaji mbegu nafikiri hufanywa tokana na wazazi halisi(mbegu za wazazi hupandikizwa), Maana yake wakikutana kawaida hawawezi kutunga mimba,Hivyo hutumia njia mbadala kurutubisha hizo mbegu.
 
Yes this is the meaning...anabeba mimba km kawaida..
Kinachofanyika hapa ni kwamba mwanamke anaetaka kupandikizwa hiyo mimba anawekewa mbegu basi ila kuna njia nyingine ya kupandikiza inaitwa ya test tube wanachukua mbegu za kike na za kiume wanapandikiza humo. hiyo test tube babies method ina mazingira kama tumbo la uzazi la mwanamke na mechanism ni zile zile
 
Mkuu sasa sio hicho anachoongea mdada hapa, test tube babies wapo, yeye anataka apandikizwe kwenye mji wa uzazi.
 
mbona rahisi tuu hiyo, si madaktari wana extraxt genye za mwanaume wanaenda kuziingiza kwenye nanihii ya mwanamke kazi inakua imeishia hapo! au hata wewe unaweza jipandikizia hizo mbegu mwenyewe bila kufanya mapenzi. tafuta bao la mwanaume umtakae ingizia kwe ye nanihii au kuna dada aliwahi kupata mimba ya kaka yake baada ya kuogea ndoo aliyotumia kaka yake.
 
Habari za jioni ndugu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe!

Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa hiyo huduma kama unayo!

Natanguliza shukrani!
mimi natoa hiyo huduma mimi mwenyewe,na sina gharama yoyote zaidi ya wewe kunipm tu,nitakufuata popote utakaponielekeza
 
Back
Top Bottom