Msaada: Gharama ya kupandikiza mtoto/mimba!

mbona rahisi tuu hiyo, si madaktari wana extraxt genye za mwanaume wanaenda kuziingiza kwenye nanihii ya mwanamke kazi inakua imeishia hapo! au hata wewe unaweza jipandikizia hizo mbegu mwenyewe bila kufanya mapenzi. tafuta bao la mwanaume umtakae ingizia kwe ye nanihii au kuna dada aliwahi kupata mimba ya kaka yake baada ya kuogea ndoo aliyotumia kaka yake.
Mkuu ni rahisi namna hiyo? Mbona sasa watu wanaangaika sana?Wanaziingiza na nini?
 
Habari za jioni ndugu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe!

Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa hiyo huduma kama unayo!

Natanguliza shukrani!
Ver sorr for u....
 
Kuzaa tuu kama njia ya kawaida ya asili.
My friend mbona unasimplify hivyo? nauliza ni jinsi gani rahisi kupandikiza, niambie namna inavyofanyika kupandikiza hizo mbegu.Hiyo rahisi unayosema ndio naomba unielezee ikoje.
 
Wanazi extract kutoka kwa mwanaume dick halafu wanenda kuziingizia kwa nanihii ya bidada. Naskia uingereza kuna sehemu sehemu wananunua shahawa za mwanaume umpendae, we tuu unachagua umpendae unakuta picha zao zipo ukutani unalipia unahudumiwa unasikilizia mambo...

Au tafuta nguo ya ndani ya mwanaume aliepiga bao au wakati mna kwichikwichi maybe hataki kuzaa pale anapofutia genye we zitote hapo vizuri halafu chovya na maji kidoogo then kaa mkao mzuri ambao hazitatoka jimiminie kwa nanihii yako uone matokeo yake baadae. But huu wizi unapaswa uufanye kiujanja na haraka sana maana baada ya mda fulani shahawa zinaishiwa nguvu na pengine hata zikifikia yai zisiweze kabisa kulirutubisha maana pindi linapofikia yai kuna reaction zinatokea hadi cover ya nje ya yai ina toboka halafu ndio sperm inaenda ku fuse ya kiini cha yai fertilization inatakes place hapo.

Kwa wale wanawake wabishi wanaotaka mtoto wakati boy wao hayuko ready wanaweza fanya huu umafia.
 
Hakuna cha shetani/majini/uchawi/ndumba/ulozi wala nini ni story za kusadikika tu. Hayajanikuta na hayotokuja kunikuta hizo story zenu za abunuasi.
...hata yakikukuta huwezi kuja kuhadithia.....
ngoja nitakujaribu.......kidogo.... ...!!!!...
 
Watu wengine humu mnatabia ya kukurupuka ku comment bila hata kufikiria au sijui ndo mawazo mgando hivi kwa akili ya kawaida tu,unazani kaolewa jana leo kaamka kuja kuomba ushauri wa namna hii na hatamani kubeba mimba kama kawaida? mpaka ukiona mtu kafikia hapa ujue kaisubiri sana hiyo kawaida, ila bado hajafanikiwa
basi sawa......
 
mbona rahisi tuu hiyo, si madaktari wana extraxt genye za mwanaume wanaenda kuziingiza kwenye nanihii ya mwanamke kazi inakua imeishia hapo! au hata wewe unaweza jipandikizia hizo mbegu mwenyewe bila kufanya mapenzi. tafuta bao la mwanaume umtakae ingizia kwe ye nanihii au kuna dada aliwahi kupata mimba ya kaka yake baada ya kuogea ndoo aliyotumia kaka yake.
story za vijiwe vya kahawa bhana.... ....
 
Habari za jioni ndugu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema kwa anayejua gharama za kupandikiza mtoto tafadhali anisaidie na sehemu yenyewe!

Pia ukiweka mawasiliano sio mbaya! Ya hukoo wanakotoa hiyo huduma kama unayo!

Natanguliza shukrani!
kuna hoapitali moja iko masaki yenyewe wana uwezo wa kupandisha ukapata mapacha au jinsia ya mtoto unayemtaka, gharama ni karibu 6m, jina limenitoka kidogo lina sound kama sanitas. kama hujafanikiwa ni pm nitakuunganisha na mfanyakazi wa hiyo hospital
 
Wanazi extract kutoka kwa mwanaume dick halafu wanenda kuziingizia kwa nanihii ya bidada. Naskia uingereza kuna sehemu sehemu wananunua shahawa za mwanaume umpendae, we tuu unachagua umpendae unakuta picha zao zipo ukutani unalipia unahudumiwa unasikilizia mambo...

Au tafuta nguo ya ndani ya mwanaume aliepiga bao au wakati mna kwichikwichi maybe hataki kuzaa pale anapofutia genye we zitote hapo vizuri halafu chovya na maji kidoogo then kaa mkao mzuri ambao hazitatoka jimiminie kwa nanihii yako uone matokeo yake baadae. But huu wizi unapaswa uufanye kiujanja na haraka sana maana baada ya mda fulani shahawa zinaishiwa nguvu na pengine hata zikifikia yai zisiweze kabisa kulirutubisha maana pindi linapofikia yai kuna reaction zinatokea hadi cover ya nje ya yai ina toboka halafu ndio sperm inaenda ku fuse ya kiini cha yai fertilization inatakes place hapo.

Kwa wale wanawake wabishi wanaotaka mtoto wakati boy wao hayuko ready wanaweza fanya huu umafia.
Kwa kawaida mtu akitaja neno hili huwa nashindwa kumuelewa. Huwezi kueleza kitu bila experience.

Kwa kukusaidia ni kuwa kuna sababu nyingi kwa nini mwanamke hawezi kupata mimba hata ukiwa na uume kama mapicha ya kitoto tunayoyaona katika jukwaa la kikubwa. Usifikiri mwanamke anafikia hatua ya kuomba msaada kama huyu mtoa mada kama ni kichaa anakuwa amejaribu njia nyingi sana. Njia ya uhakika ni test-tube (IVF). Mwanamke chini ya miaka angalau 25 anatolewa yai na mwanaume anatoa maji ya uzima yenye mbegu zinachanganywa katika test-tube inapatikana embryo na hii inaweza kutunzwa katika fridge au haraka ikawekewa mwanamke yoyote aliyeandaliwa na mimba ikaanza kukua. Suala hili si jipya ni la kawaida. Kwa mantiki hii ukiona mwanamke anakosa mtoto katika ulimwengu wa wale jua kuwa kuna matatu:- hana taarifa sahihi; au hataki; au kipato kinagomba. Gharama zake si za kutisha kivile inategemea. Naomba kutoa hoja
 
mbona rahisi tuu hiyo, si madaktari wana extraxt genye za mwanaume wanaenda kuziingiza kwenye nanihii ya mwanamke kazi inakua imeishia hapo! au hata wewe unaweza jipandikizia hizo mbegu mwenyewe bila kufanya mapenzi. tafuta bao la mwanaume umtakae ingizia kwe ye nanihii au kuna dada aliwahi kupata mimba ya kaka yake baada ya kuogea ndoo aliyotumia kaka yake.
 
Kwa kawaida mtu akitaja neno hili huwa nashindwa kumuelewa. Huwezi kueleza kitu bila experience.

Kwa kukusaidia ni kuwa kuna sababu nyingi kwa nini mwanamke hawezi kupata mimba hata ukiwa na uume kama mapicha ya kitoto tunayoyaona katika jukwaa la kikubwa. Usifikiri mwanamke anafikia hatua ya kuomba msaada kama huyu mtoa mada kama ni kichaa anakuwa amejaribu njia nyingi sana. Njia ya uhakika ni test-tube (IVF). Mwanamke chini ya miaka angalau 25 anatolewa yai na mwanaume anatoa maji ya uzima yenye mbegu zinachanganywa katika test-tube inapatikana embryo na hii inaweza kutunzwa katika fridge au haraka ikawekewa mwanamke yoyote aliyeandaliwa na mimba ikaanza kukua. Suala hili si jipya ni la kawaida. Kwa mantiki hii ukiona mwanamke anakosa mtoto katika ulimwengu wa wale jua kuwa kuna matatu:- hana taarifa sahihi; au hataki; au kipato kinagomba. Gharama zake si za kutisha kivile inategemea. Naomba kutoa hoja
Hizi ni effect za kutoa maelezo incomplete. Angetoa hali halisi tungejua namna ya kumsaudua vizuri fom the scratch! yeye kama anataka msaada wakati hatoi kisa kizima anategemea nini?

Halafu lugha yetu ya kiswahili huijui au?
 
Kiswahili ni lugha yangu ya pili. Lugha ya kwanza ninayoijua haswa ni Kichagga. Kiingereza ni lugha yangu ya 10. Nsamehe kama nimekukwaza. Ila nadhani mimi kosa langu ni kuweka baadhi ya maneno ya kiingereza (nyani haoni kundule - wewe umeweka effect, incomplete, ukaandika fom nadhani ulitaka kuandika from nk)
 
kila mtu ana uelewa wake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom