Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,126
- 6,764
Mkuu ni rahisi namna hiyo? Mbona sasa watu wanaangaika sana?Wanaziingiza na nini?mbona rahisi tuu hiyo, si madaktari wana extraxt genye za mwanaume wanaenda kuziingiza kwenye nanihii ya mwanamke kazi inakua imeishia hapo! au hata wewe unaweza jipandikizia hizo mbegu mwenyewe bila kufanya mapenzi. tafuta bao la mwanaume umtakae ingizia kwe ye nanihii au kuna dada aliwahi kupata mimba ya kaka yake baada ya kuogea ndoo aliyotumia kaka yake.