Mimi naendesha aina zote mbili za auto na manual, lakini hata kwa Auto mguu wa kushoto unatakiwa utulie tu. Kama unaendesha kwa mtindo huo pole mkuu huo si uendeshaji na huwezi kunishawishi kwamba mguu wa kushoto utumike kukanyaga break eti kwa sababu ni AUTO.
Labda nikuulize, umewahi kuendesha MANUAL kama umewahi, huwezi kufanya kosa la kuuleta mguu wa kushoto kwenye break kwa sababu ''cratch'' inabidi iende na ''break'' yaani mguu wa kulia ukikanyaga break ule wa kushoto ukanyage cratch vinginevyo gari itazima. Naomba kusahihishwa kama nimekwenda tofauti, JF ni sehemu ya kuelimishana.
sio cratch ni clutch
sio break ni brake
Huu ushauri siyo sahihi. usahihi ni rpm isivuke 3 kwa gear 2,3 na 4. i.e kila rpm ikifika 3 badilisha gear. Ukibadilisha gear wakati RPM iko 2 utatumia mafuta mengi zaidi. ndiyo maana kwa mijini gari zetu hutumia mafuta zaidi kwa sababu siyo rahisi kwa mjini kutokana na msongamano kufikisha 3 rpm ii ubadilishe gear.mara nyingi driving pia huchangia ulaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa. jaribu kuendesha hilo gari ili hali ukizuia rpm kupita mbili. hata kama rpm haivuki mbili unaweza pata speed uitakayo just uvumilivu kidogo.
Mh! Itakuwa nimesahau gari nn, miguu yote miwili unaendeshaje auto?Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
Huu ushauri siyo sahihi. usahihi ni rpm isivuke 3 kwa gear 2,3 na 4. i.e kila rpm ikifika 3 badilisha gear. Ukibadilisha gear wakati RPM iko 2 utatumia mafuta mengi zaidi. ndiyo maana kwa mijini gari zetu hutumia mafuta zaidi kwa sababu siyo rahisi kwa mjini kutokana na msongamano kufikisha 3 rpm ii ubadilishe gear.
Mkuu nimesema sio mimi ila nimeshuhudia watu zaidi ya watatu wakitumia staili hiyo mmoja wapo mke wangu, na mimi nikawauliza kama wewe, walichoniambia kwa upande fulani kina mantiki. "Mmoja alisema aliamua kutumia staili hiyo kutokana na yeye mguu wake wa kushoto ndiyo wenye nguvu zaidi ya kulia, sawa na mikono ya watu wengine hutofautiana nguvu na hata matumizi, wengine hutumia hata mkono wa kushoto kuandika au kula chakula. So huwezi kumlazimisha mtu anayetumia mkono wa kushoto kutumia wa kulia."Kwa ushauri wangu, kama unatumia auto kwa uendeshaji huu uliousema basi nakushauri uache kabla hujapatwa na ajali mbaya sana. ....auto inaendeshwa kwa mguu mmoja tu Tena wa kulia. ....auto Haina clutch hivyo unapotoa mguu Kwenye pedal ya mafuta kwenda kukanyaga break gari haitozima. ...na pia kwa kutumia mguu wa kulia ndio utaiendesha gari kwa usalama zaidi
Mkuu nimesema sio mimi ila nimeshuhudia watu zaidi ya watatu wakitumia staili hiyo mmoja wapo mke wangu, na mimi nikawauliza kama wewe, walichoniambia kwa upande fulani kina mantiki. "Mmoja alisema aliamua kutumia staili hiyo kutokana na yeye mguu wake wa kushoto ndiyo wenye nguvu zaidi ya kulia, sawa na mikono ya watu wengine hutofautiana nguvu na hata matumizi, wengine hutumia hata mkono wa kushoto kuandika au kula chakula. So huwezi kumlazimisha mtu anayetumia mkono wa kushoto kutumia wa kulia."
Mwingine alisema, "kuna jamaa yake mmoja aliwahi kugonga mti akiwa anapaki gari ofisini, jamaa alihamisha mguu bila kuangalia vizuri akidhani anakanyaga brake kumbe thleluthi ya mguu wake bado ilikuwa juu ya pedal ya mafuta, ile anatua mguu kwenye pedal akidhani ni brake alishuhudia gari ikiruka na kuvaa mti". Jamaa kasema toka siku hiyo ni heri atumie yote awe na uhakika kwamba akiinua mguu kutoka kwenye pedal ya mafuta anajua kuna back up ya mguu wa kulia kwa ajili ya ku-brake incase ikitokea amekosea na gari kuondoka ghafla.
NB: Mke wangu anaendesha auto transmission na anatumia miguu yote miwili wa kushoto brake na kulia mafuta hasa akifika kwenye tight jam ili kujilinda na kugonga gari ya mbele kwa miaka takribani kumi sasa na hajagonga hata bata wa mtu.
Tuwe wa kweli ni kweli vyuoni tunafundishwa namna hata ya kuweka mkono kwenye usukani, je niwangapi kati yetu barabarani tuna-implement hiyo? Tunashudia kila siku watu wanaendesha magari wakitumia mkono mmoja, wengine wanatuma msg au kuchat kabisa.
Huu uchokozi sasa!
Ni gaia ya 1999. CC 1990
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
Mkuu pgsoft2008 bado natafakari hiyo concept ya kutovuka rpm 2 na its relevance in minimising fuel consumption. Unaweza kuja na technical explanation kidogo juu ya hili?