Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta


Huu uendeshaji nausikia leo!!! mguu uwe kwenye break pedal na bado uwe kwenye mafuta? kumbuka mguu ili ukanyage break lazima uhamishe toka kwenye mafuta kwanza. Labda unataka kutwambia anakanyaga break kwa mguu wa kushoto kitu ambacho siyo!!!. Hebu tufafanulie vizuri hapo kwenye red. Hata hapo kwenye mteremko, ukiendelea kukanyaga mafuta gari itakimbia na kkukulazimu ukanyage break.
 
Kumbe sikutaja aina ya transmission, ni auto mkuu. Wengi wanaotumia auto hutumia miguu yote, wakushoto breki na kulia mafuta. Wengi wanaotumia mguu mmoja wakati wakuendesha auto hujikuta kosa moja goli, wengi wanafanya hivyio ili kuepuka kupata ajali ya kugonga gari la mbele yako hasa kwenye foleni. Unaweza kufikiri unakanyaga breki kumbe mguu hujaamisha vizuri kutoka kwenye mafuta.
 
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?

Hilo tatizo dogo sana, fungua hiyo side mirror ya kushoto utaona propela shafti isugue na msasa kidogo halafu ipulize kdg then punguza upepo kwenye tairi za mbele. Hapo kesi yako itakuwa solved
 


Mimi naendesha aina zote mbili za auto na manual, lakini hata kwa Auto mguu wa kushoto unatakiwa utulie tu. Kama unaendesha kwa mtindo huo pole mkuu huo si uendeshaji na huwezi kunishawishi kwamba mguu wa kushoto utumike kukanyaga break eti kwa sababu ni AUTO.

Labda nikuulize, umewahi kuendesha MANUAL kama umewahi, huwezi kufanya kosa la kuuleta mguu wa kushoto kwenye break kwa sababu ''cratch'' inabidi iende na ''break'' yaani mguu wa kulia ukikanyaga break ule wa kushoto ukanyage cratch vinginevyo gari itazima. Naomba kusahihishwa kama nimekwenda tofauti, JF ni sehemu ya kuelimishana.
 
fanya hivi ijaze full tanki alafu sukuma hadi nyumbani kwako, lipaki kwenye banda lake kama lipo , usiwashe engine hata siku1 ww washa taa tu na redio piga honi kila kitu alfu angalia kama litakula hayo mafuta

Umetisha!
 

Huyu mkuu anaendesha Gaia, nina imani ni auto!
 
Hilo tatizo dogo sana, fungua hiyo side mirror ya kushoto utaona propela shafti isugue na msasa kidogo halafu ipulize kdg then punguza upepo kwenye tairi za mbele. Hapo kesi yako itakuwa solved

Siyo kila kitu unajaribu kuwa funny, wakati mwingine unaweza kujikuta unaonekana kituko!
 

Hii ni ngeni Mkuu! hahahahaa:love:
 
Hii ni ngeni Mkuu! hahahahaa:love:


Nina wasiwasi kama huyu jamaa ni muendeshaji wa gari kweli, kama ndivyo watakua ni wale wanaosababisha ajari za kizembe. Eti anatumia miguu yote kukwepa kugonga gari ya mbele!!!.
 
kweli jf is everything lolz...

mie gari yangu haili mafuta sana, ila hela ya mafuta ndio nimeishiwa. Somebody help plz!
 

Kwa ushauri wangu, kama unatumia auto kwa uendeshaji huu uliousema basi nakushauri uache kabla hujapatwa na ajali mbaya sana. ....auto inaendeshwa kwa mguu mmoja tu Tena wa kulia. ....auto Haina clutch hivyo unapotoa mguu Kwenye pedal ya mafuta kwenda kukanyaga break gari haitozima. ...na pia kwa kutumia mguu wa kulia ndio utaiendesha gari kwa usalama zaidi
 
Yaani nadhani kati ya km nne au tano kwa lita moja. Wafundi wanasema nibadilishe nozzle niweke za tundu mbili maana zilizopo ni nne. Je itasaidia?

Fix nyingine! Gaia ya diesel ok kwa kuwa umefunga nozzle lazima ile petrol
 
Sio inakula mafuta it designed that!ndo chakula size punguza ipate unyafuzi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…