kuna baadhi ya bidhaa znakuwa zmeandkwa free shipping hapo inakuwaje?Tumia ebay.com au amazon then flight charges .ni zako
Free if it is within the country like UK or use
wandugu naomba mwongozo kuhusu ebay.. ivi niknunua kitu ebay kitanifikiaje kama naishi mkoan i.e mbal na dar. na katika option za malipo je unaweza kutumia westernunion? naomba kusaidiwa.
ahsante nimeipata post na nme jifunza kitunenda jukwaa jf store kuna uzi unaongelea ebay soma mwanzo mpaka mwisho utaelewa