Msaada, early ejaculation nifanyeje kuthibiti hii hali.

bigmash

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
416
421
Wadau,
Msaada wenu tafadhali mimi simalizi dakika moja bila ya kuejaculate, hata nikirudia zaidi ya mara moja, bado nitatoa mapema, hii hupelekea wale ninao kutana nao kutoridhika na tendo la ndoa, nini cha kufanya, je kuna dawa yoyote inayoweza nisaidia angalau nimalize hata dakika mbili tu, au nini nifanye ili nijinusuru na hii hali. Nahitaji serious contributors kwa hili, matusi na utani, kejeli sihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza kula vyakula vya mafuta, piga zoezi la kupasha mwili joto kama kukimbia au kuruka kamba. Zoezi linalohusisha kuongeza pumzi, push it to the limits kwa pushups na mwisho kunywa maji mengi kila siku. Hizo ni njia rahisi tu za kujikwamua. Ukiwa serious baada ya week mbili utaona tokeo.
 
Jitahidi kufanya mazoezi hata dk 20 kila siku, unaweza kununua kamba na kuruka kwa mda huo kila siku, baada ya siku tatu utaona mabadiliko
 
Wadau,
Msaada wenu tafadhali mimi simalizi dakika moja bila ya kuejaculate, hata nikirudia zaidi ya mara moja, bado nitatoa mapema, hii hupelekea wale ninao kutana nao kutoridhika na tendo la ndoa, nini cha kufanya, je kuna dawa yoyote inayoweza nisaidia angalau nimalize hata dakika mbili tu, au nini nifanye ili nijinusuru na hii hali. Nahitaji serious contributors kwa hili, matusi na utani, kejeli sihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#sergio[/HASHTAG] 5 msaada unahitajika huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie hapa kwanza..
1.Acha nyeto na kuangalia picha za ngono. (Km hufanyi hivyo then inakuja hatua nyingine)

2.Kula vizuri(mlo kamili)na fanya mazoezi pia kunywa maji mengi.

3.Achana na mambo ya dawa utajiharibia bure baada ya miaka kadhaa..

Note:Mabadiliko hayatokei ndani ya siku au wiki..atleast baada ya wiki mbili na kuendelea so kwa kipindi chote hcho achana na sex then uje kujitest baada ya mwezi(i recommend uvumilie kwa mwezi mzima) then utajiona umepiga hatua ama la.

Ugiligili
 
Mkuu kitu cha mkongo ni balaa kwa kumkomoa mtu na haikupi raha yoyote ile zaidi utajikuta unajichosha tuuu maana dudu inakufa ganzi na hata ukiigusa husikii chochote. Wengi ni wahanga wa hilo tatzo lako hata mimi pia lakin kuna njia za kutumia kumrizisha kwanza huyo zen uje wew utoe vimaji dk 2 tu atasema kachoka. Zen mnapumzika na baada ya dk 15 mnaliamsha tena. Atleast dude la pili linaweza kuamshwa kwa weredi. ILa tafuna vitunguu pilau masaa 6 kabla. Au kula kitunguu maji na asali 4 days before. Hautajutia hizo njia mbili

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Fanya mazoezi sana, kimbia sana pia, push up, ukiweza na karate , kichura chura, piga skwashi za kutosha, kunywa maji kila siku lita 3 kwenda juu, kula chakula cha kutosha na uwe unapata mda mzuri wa kupunzika, bila kusahau matunda kwa wingi na mbonga mboga za kila aina hasa mchunga, fanya hivyo kwa mda wa miezi sita, ukirudi kwenye kwichi kwichi utakua ni shidaa mzee baba
 
Wadau,
Msaada wenu tafadhali mimi simalizi dakika moja bila ya kuejaculate, hata nikirudia zaidi ya mara moja, bado nitatoa mapema, hii hupelekea wale ninao kutana nao kutoridhika na tendo la ndoa, nini cha kufanya, je kuna dawa yoyote inayoweza nisaidia angalau nimalize hata dakika mbili tu, au nini nifanye ili nijinusuru na hii hali. Nahitaji serious contributors kwa hili, matusi na utani, kejeli sihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu mwenyewe unajiita BIG unaona sifa kuwa na litumbo lilojaa mafuta eeh ..we endelea tu hivyo hivyo kula kula hovyo mwisho hata hiyo dakika haitofika itakua ukivua chuppi tu tayari...badilika wewe big tumbo !!
 
Dawa ni Jizoeze kutumia kondomu kwanza unapoanza tendo kwa bao la Lkwanza na la pill kisha toa kwa bao la tatu kama ni kwa mpenzi mliyepima nae, otherwise jaribu kuwa unawaza vitu vingine wakati wa tendo usiconcetrate xana, waza madeni, kodi za nyumba, njaa, ccm, na majanga mengine hii itakufanya ikucheleweshe kikojoa but itakunyima radha lakin pia nikutoe hofu bao la kwanza huwahi kwa wote si kwako tu.
Pia uwe na maandalizi marefu kabla ya game sio kudandiana kama punda, pia punyeto kabla ya tendo husaidia kurefusha mda wa gemu.

Nakutakia utekelezaji mwema na hili halina dawa za dukani
 
Ha ha ha we kiboko, ila kwenye punyeto umeharibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau,
Msaada wenu tafadhali mimi simalizi dakika moja bila ya kuejaculate, hata nikirudia zaidi ya mara moja, bado nitatoa mapema, hii hupelekea wale ninao kutana nao kutoridhika na tendo la ndoa, nini cha kufanya, je kuna dawa yoyote inayoweza nisaidia angalau nimalize hata dakika mbili tu, au nini nifanye ili nijinusuru na hii hali. Nahitaji serious contributors kwa hili, matusi na utani, kejeli sihitaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
What is the biological importance of ejaculation? Is it not perpetuation of the species? Be it early or late ejaculation the biological essence of ejaculation will he attained

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom