asante sana kwa mchango wakoHahahahahahahah, we jamaa acha ufala jimix na ma raia, i used to be like you nilipokuwa primary mpaka form four nikawa najishangaa but nilikuja kugundua kumbe ni malezi na mazingira ndio yanayochangia kuwa na hali hio.
Unaonesha wewe ni mtoto wa geti kali sana unaejifungia ndani full time,huna mazoea na watu tofauti na dada zako ama kaka zako hapo home, ama umelelewa katika mazingira ya kuogofywa kuwa usijichanganye na marafiki watakufundisha uhuni. Wazazi wako wamekuprotect sana kiasi cha kuwa wamekuwa wakikuamulia kila kitu na umeishi katika hali hio kwa muda mrefu.
But usiogope kila kitu kina solution, kama upo above 18 anza sasa kuishi kama vijana wengine wanavyoishi. Jiengue katika tawala za wazazi wako kwa baadhi ya mambo yanayokuhusu wewe moja kwa moja. Tafuta rafiki ambae ni mchangamfu atakuunganisha na watu wengi wa aina yake taratibu hio hali ya "UNDEZI" itakuisha baada ya miaka miwili mpaka mitatu utakuwa mtu tofauti kabisa.
mungu atakupa wa kufanana na weweJamani mimi nina aibu ile ya kuzaliwa (introverts) mbele ya mkusanyiko mkubwa wa watu kama vile harusini, kwenye sherehe na hata misibani.
Imeniwia vigumu sana linapokuja suala la kuwa na mahusiano na marafiki wapya hata suala zima la mapenzi na wanawake.
Hapa nilipo sijawahi kuwa na wanawake wapenzi wanaofika hata 20, sasa nimekaribia kufika umri wa kutaka kuoa ila ninajiuliza sijui nioe mwanamke wa tabia ya namna gani anayeweza kufanana na mimi.
Sijui nioe muongeji sana ili niweke balance ama awe full aibu kama mumewe hapa wakija wageni wakose wakuwachangamkia.
Naombeni msaada wa mawazo yani nimekwama njia panda.
note these:Fuata kati ya haya.
1.Anza kukaa vijiweni hasa vile vijiwe vya vijana Wa rika lako baada ya kazi au masomo .
2.Katika hivyo vijiwe uwe interested sana na habari za kugegedana na warembo mengine waachie wenyewe.
anza kutongoza taratibu wanawake Wa kawaida achana na warembo wale wazuri sana utavunjika moyo tu sababu utapigwa kibuti fasta sababu huna swaga za kujiamini.
mi nilikuwa kama wew zamani lakini taratibu nikafuata hayo nikajikuta tu sometime unakuwa na ngekewa ya warembo .
#UKIMWI UNAUA,TUMIAKONDOM
6
Mbona hueleweki mkuu! Umesema una-aibu mbele za watu wengi kama msibani, msikitini...n.k sasa mwanamke mmoja unakuwa vp na aibu, wakati wewe aibu ni kwenye kadamnasi.Jamani mimi nina aibu ile ya kuzaliwa (introverts) mbele ya mkusanyiko mkubwa wa watu kama vile harusini, kwenye sherehe na hata misibani.
Imeniwia vigumu sana linapokuja suala la kuwa na mahusiano na marafiki wapya hata suala zima la mapenzi na wanawake.
Hapa nilipo sijawahi kuwa na wanawake wapenzi wanaofika hata 20, sasa nimekaribia kufika umri wa kutaka kuoa ila ninajiuliza sijui nioe mwanamke wa tabia ya namna gani anayeweza kufanana na mimi.
Sijui nioe muongeji sana ili niweke balance ama awe full aibu kama mumewe hapa wakija wageni wakose wakuwachangamkia.
Naombeni msaada wa mawazo yani nimekwama njia panda.
MWENJEJI WA KIGOMA ILA SIO MRUNDI AMA MCONGO MAN
ninadha wewe ndio umeshindwa kunielewa mkuu. walio elewa wamenijibu na kunitukana.Mbona hueleweki mkuu! Umesema una-aibu mbele za watu wengi kama msibani, msikitini...n.k sasa mwanamke mmoja unakuwa vp na aibu, wakati wewe aibu ni kwenye kadamnasi.
Halafu, mbona uzi wako hauna uhusiano na kuoa, iweje huku mbele unaomba ushauri wa kuoa. Jifunze kutoa uzi, ili ueleweka vizuri
Best msaidie mwenzioMwenyewe sijaoa, so siko kwenye nafasi nzuri ya kukushauri. Ila nadhani ndoa ni calling. We endelea na maisha yako, ukifika muda muafaka utajua tu.