Msaada: Dume zima nina aibu mbele ya wanawake

Msaada: Dume zima nina aibu mbele ya wanawake

Usije kujichanganya kwa kutafuta mke kwa vigezo hivyo vya mchangamfu/mwongeaji wa katikati au mkimya ama muongeaji sana, maana hali yako ni ya mpito,na ukitumia hivyo vigezo kutokana na kuhusianisha na ulivyo sasa, ukija kubadilika utasumbuana sana na mwanamke uliejicomit kwake maana kuna uwezekano ukamuoma sio chaguo lako au yeye akakuona si chaguo lake. Hali uliyomo ni ya mpito endapo utaitafutia ufumbuzi. Jichanganye na watu wa tamaduni mbalimbali ambao wana vigezo vingi na haiba za kukutisha. Hutaamini kitakachotokea na hapo ndipo utafute mwenzi.
asante sana mkuu.......
 
Kula Kwanza mema ya nchi ..... Usije sumbua kwenye ndoa.
Kama umefikisha 27, roughly uwe umekandamiza wasichana wasiopungua 40...
Wengi mtabisha Lakin ukweli ndio huo.
 
Back
Top Bottom