Best msaidie mwenzio
Wanaume wenye aibu are so sexy yaani. baki hivyo hivyoUjue hata mimi nina aibu, sasa fanya kunisaidia kuzitoa, halafu nitarudi kumuelekeza mshkaji.
Ukishaweka ndani (oa) ndio utajua wewe mkimya au mpole, maana me wengi kama wewe wakioa wanagubu la ajabujuu ya sifa zote hizo ni vipi kama atakuwa ni mkimya kama mimi, nyumba si itakuwa ina bore sana hususani wakija wageni ndani
Afadhali sio wa mwanaume wa darisalama, maana ingekuwa shida kwetu.Jamani mimi nina aibu ile ya kuzaliwa (introverts) mbele ya mkusanyiko mkubwa wa watu kama vile harusini, kwenye sherehe na hata misibani.
Imeniwia vigumu sana linapokuja suala la kuwa na mahusiano na marafiki wapya hata suala zima la mapenzi na wanawake.
Hapa nilipo sijawahi kuwa na wanawake wapenzi wanaofika hata 20, sasa nimekaribia kufika umri wa kutaka kuoa ila ninajiuliza sijui nioe mwanamke wa tabia ya namna gani anayeweza kufanana na mimi.
Sijui nioe muongeji sana ili niweke balance ama awe full aibu kama mumewe hapa wakija wageni wakose wakuwachangamkia.
Naombeni msaada wa mawazo yani nimekwama njia panda.
MWENJEJI WA KIGOMA ILA SIO MRUNDI AMA MCONGO MAN
Hivi kumbe 20 ni wachache enhee"hapa nilipo sijawahi kuwa na wanawake wapenzi wanaofika hata 20". Haha kwani uliambiwa unatakiwa kufikisha idadi gani, ili uwe normal?
"hapa nilipo sijawahi kuwa na wanawake wapenzi wanaofika hata 20". Haha kwani uliambiwa unatakiwa kufikisha idadi gani, ili uwe normal?
sidhani kama wewe una aibu, kwa maelezo yajo tho hujafikisha wanawake 20 ila inaonekana kama vile 12 uliishawavuaga nguao ulianza anzaje??? Sema ukweli? Mm naona wewe ni mkimya ila sio mtu wa aibu. Ushauri oa mwanamke mchangamfu hata kama hakuna tv ndani siku inaenda sawa.kuwa mtu wa aibu ama ucheshi hakumuondolei mtu jinsia yake. haya ni maumbile ti kama maumbile mengine.
seriously?Huwa unagegeda umevaa miwani?