Miaka ya Nyuma ilikuwa Ukiacha kurenew domain yako na muda wa ku renew ukipita wanaichukua na kuiuza. Haswa kama domain yako ilikuwa inapokea Traffik kubwa, Ila sasa naona wamekuja na sheria mpya kama haujailipia na muda wa kuirenew umepita wanaiweka mnadani na isipopata mnunuzi wanaifuta. Hapo unakuwa na uwezo wa kuisajili upya. Balaa ni ikipata mnunuzi imekula kwako.