Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,759
- 5,289
Sijajaribu kuwasiliana naoNilitaka kuja kukuambia uinunue ila kwa 6M naona tafrani kidogo. So ukiwasiliana na hao wauzaji kwamba wewe ndiye mmiliki wanakuambia nini?
Ila haina mteja bado..Usilalamike. Hukulipia ameuziwa mwingine
Daah yaan najilaumu sanaHuna chako tena hapo.
Taka care, next time.
Domains nzuri ni assets, hazitelekezwi ovyo.
Premium domains zinauzwa mamilioni na ni biashara kubwa.
Domains ni kama ilivyo frequency za radio hapa Dar, kina Kusaga wamechukua frequency nzuri nzuri wamekaa nazo. Hata 88.9 ya Wasafi fm ni yake.
Mimi nilishawahi kutaka kununua domain, halafu nikasita.Daah yaan najilaum sana
Majukumu yalizidi mkuuNdo basi tena imekula kwako. Navyojuaga domain name ikiisha huwa unapewa siku kama 30 hivi za kuikomboa, zikipita nazo imekula kwako mazima.
Mkuu 6m parefu dahIssue ni kwamba wewe sio mmiliki tena. License yake iliisha baada ya hyo miaka 2. Hapo kma unaitaka tena ni kutoa hyo 6M tu
Habari Chief, najaribu kukupm inashindikanaNdo basi tena imekula kwako. Navyojuaga domain name ikiisha huwa unapewa siku kama 30 hivi za kuikomboa, zikipita nazo imekula kwako mazima.
Godaddy wanafanya mpaka brokering. Kama unahitaji Domain fulani na ikaonekana ina mtu na unaitaka, wanawasiliana naye kama anauza.Bora wewe uliitelekeza, mimi Busati.com wale Godaddy walinipiga Fine kubwa na sasa wanaiuza milioni 30..
Kifupi makampuni mengi ya domain ni matapeli matapeli, ukijichanganya kidogo wanakupokonya domain.
Natumia name cheap sasa hivi, so far so good.
Kama hautojali nipe link ya blog yako/zako niwe natembelea huko.Bora wewe uliitelekeza, mimi Busati.com wale Godaddy walinipiga Fine kubwa na sasa wanaiuza milioni 30..
Kifupi makampuni mengi ya domain ni matapeli matapeli, ukijichanganya kidogo wanakupokonya domain.
Natumia name cheap sasa hivi, so far so good.
Sina, nasajili tu domain kwa ajili ya matumizi ya baadae,Kama hautojali nipe link ya blog yako/zako niwe natembelea huko.
Si uchukue domain nyingine? .co.tz, .co, .work, .xyz, .org, .net. Haziwezi kuwa zimechukuliwa zote. Kma mm racka.com ilikua ishachukuliwa nikachukua racka.work kwa $10 per yearMkuu 6m parefu dah
Itabid nifanye hivyoSi uchukue domain nyingine? .co.tz, .co, .work, .xyz, .org, .net. Haziwezi kuwa zimechukuliwa zote. Kma mm racka.com ilikua ishachukuliwa nikachukua racka.work kwa $10 per year