Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,014
- 95,369
Dah... mke wa jamaa kaamua kuunga mkono juhudi za Amba Ruti mchana kweupe. Afu jamaa lilivyo zembe hata halijastuka..SERIKALI wakijua atawekewa ULINZI mkali sana, utaambiwa GAS ni MALI YA SERIKALI. Na watampeleka MTWARA akachangie kwenye visima vya gesi, ili umeme ushuke bei.
Au kama vipi anzisha kampuni ya kujaza na kuuza MITUNGI ya GAS (kama vile Oryx Gas, Manji Gas), utapiga sana hela maana upatikanaji wa gas yenu hauna tabu.
Ngoja tuwalete wengine watoe mawazo yao, Asprin babu kijana wa JF, hebu njoo umpe mjukuu wako ushauri nasaha huku.