Ukipewa jibu nitag mkuuSijaelewa hivi ni kujampa au kujamba au kubunjumbura
Acha fikra finyu na wewe siunajambaga kwahiyo umeliwa Togo.ulipoanza kumla tigo mbona hukuomba msaada wa mawazo?
Huo utakuwa ugonnjwa ndugu, mpeleke hospitali. Lkn kwa kuanzia awe anakula vitunguu swaumu vilivyochanganywa na asali. Menye vitungu swaumu vingi, weka kwenye chombo chenye mfuniko wa kufunga kisha jaza asali. Awe anakula vipunje vitatu na vijiko vidogo vya asali vitatu asubuhi kabla ya kula kitu chochote. Na asubiri nusu saa hadi saa nzima kabla ya kula kitu. Baada ya mwezi mmoja utaona matokeo. Na anaweza kuendelea kutumia hivyo kwa muda mrefu zaidi.Mkuu hali ni mbaya sana inafika kpnd had nguo zinanuka harufu mbaya
Ahhhhhaa wee jamaaaSERIKALI wakijua atawekewa ULINZI mkali sana, utaambiwa ni GAS ni MALI YA SERIKALI. Na watampeleka MTWARA akachangie kwenye visima vya gesi, ili umeme ushuke bei.
Au kama vipi anzisha kampuni ya kujaza na kuuza MITUNGI ya GAS (kama vile Oryx Gas, Manji Gas), utapiga sana hela maana upatikanaji wa gas yenu hauna tabu.
Ngoja tuwalete wengine watoe mawazo yao, Asprin babu kijana wa JF, hebu njoo umpe mjukuu wako ushauri nasaha huku.![]()
![]()



Ah nini jamani, si nimemshauri afungue biashara, pengine atanipa ajiraAhhhhhaa wee jamaaa![]()

Sijaelewa hivi ni kujampa au kujamba au kubunjumbura
Anapenda sana kipolo cha wali maharage yaan haipit siku 2 bila kula kipolo.Boresha menyu ya chakula hapo nyumbani,ale vitu fresh;matunda,juisi n.k asile viporo kwa siku weka bajeti ya 50,000/= hilo tatizo litaisha,lasivyo ukiendelea kumlisha maharage,vipolo n,k hilo tatizo haliishi.
Sawa mkuu. Maana hali ni mbaya sana, Had oficin kwao wananifikiria vibaya maana na huko ni kujamba kwa kwenda mbeleAhahahahhahhahahhhh aseee pole mkuu, Ila sema nini mpeleke hospital akapime minyoo Amiba na typhoid smtmz huchangia