Huo utakuwa ugonnjwa ndugu, mpeleke hospitali. Lkn kwa kuanzia awe anakula vitunguu swaumu vilivyochanganywa na asali. Menye vitungu swaumu vingi, weka kwenye chombo chenye mfuniko wa kufunga kisha jaza asali. Awe anakula vipunje vitatu na vijiko vidogo vya asali vitatu asubuhi kabla ya kula kitu chochote. Na asubiri nusu saa hadi saa nzima kabla ya kula kitu. Baada ya mwezi mmoja utaona matokeo. Na anaweza kuendelea kutumia hivyo kwa muda mrefu zaidi.
Vitungu swaumu vikae kwenye asali kwa siku angalau 5 kabla hajaanza kutumia, hii inasaidia kupunguza ukali na harifu ya kitunguu.