Msaada Dawa ya kuzuia kujampa

SERIKALI wakijua atawekewa ULINZI mkali sana, utaambiwa GAS ni MALI YA SERIKALI. Na watampeleka MTWARA akachangie kwenye visima vya gesi, ili umeme ushuke bei.

Au kama vipi anzisha kampuni ya kujaza na kuuza MITUNGI ya GAS (kama vile Oryx Gas, Manji Gas), utapiga sana hela maana upatikanaji wa gas yenu hauna tabu.

Ngoja tuwalete wengine watoe mawazo yao, Asprin babu kijana wa JF, hebu njoo umpe mjukuu wako ushauri nasaha huku.
Dah... mke wa jamaa kaamua kuunga mkono juhudi za Amba Ruti mchana kweupe. Afu jamaa lilivyo zembe hata halijastuka..
 
Dah... mke wa jamaa kaamua kuunga mkono juhudi za Amba Ruti mchana kweupe. Afu jamaa lilivyo zembe hata halijastuka..
Unajua kuna vitu vingine mtu unapaswa uwe na HEKIMA na BUSARA, mkeo unatakiwa umstiri heshima yake hata kama hatumjui, huwezi kumvua nguo hadharani kama hivi JF, una paswa hata kutumia mtoto/mdogo kufikisha maswali yako badala ya mke.
 
Mimi npo na mke wng kwa zaid ya miaka 3. Mwanzo alikua hana tabia ya kujampa sana. Lakn toka mwaka huu uanze amekua akijampa sana co mchana wala ucku. Anajampa kila mda na kila mahali. Yaan anavitoa vya sauti na vile vya kimya kimya yaan Yusufu.Tatzo n vinanuka sana yaaan ni tabu sana.
Mkuu SAMAHANI kwanza simaanish kwa ubaya, kuna mchezo wowo mbaya unamfanyia au huko alikutoka au amejifungua hivi karibuni?
 
Ale tangawizi..na thoum achanganyie maziwa au asali!
asubuhi maji vuvugu glas moja kabla ya kula kitu...
 
Yan story yako wife wangu akiiona anaweza sema mimi ndo nmepost huu uzi.
Ila sema yeye vyake havinuk lakin anaachia mabombastic anytime anywhere unaweza sema bom😂😂😂
 
Mpaka kufikia October 25 , 2020 Term ya kwanza kuisha ya JIWE ,Ma Dr Shika watazidi kuongezeka!!! Hata Kisando Masqo alianza hivi hivi kuandika vitu visivyoeleweka Facebook kumbe Dish lilikuwa lishayumba!
 
Mimi npo na mke wng kwa zaid ya miaka 3. Mwanzo alikua hana tabia ya kujampa sana. Lakn toka mwaka huu uanze amekua akijampa sana co mchana wala ucku. Anajampa kila mda na kila mahali. Yaan anavitoa vya sauti na vile vya kimya kimya yaan Yusufu.Tatzo n vinanuka sana yaaan ni tabu sana.
Tatizo umemu amber ruty tayari hana tena marinda, Konki konki konki master
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom