Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.
Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app