Msaada dawa ya kutokuwa na wivu tafadhali

Msaada dawa ya kutokuwa na wivu tafadhali

Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.

Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wenye hela zetu hatunaga hayo ma wivu tunajua wengi wanatusubiria tuachwe so dogo Tafuta mpunga mrefu ni source ya confidence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu ni kitu kizuri kwenye penzi lakini ukiwa wa kipuuzi utakukosesha mazuri mengi. Badili tabia ya wivu wa kipuuzi.

Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.

Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu ni kitu kizuri kwenye penzi lakini ukiwa wa kipuuzi utakukosesha mazuri mengi. Badili tabia ya wivu wa kipuuzi.
Sasa utajuaje wivu huu ni wa kipuuzi ama wa faida. Maana wivu ni involuntary feeling. Huweza kutokea saa yeyote kulingana na jinsi mahusiano ya mpenzi wako na watu wengine yalivyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ukiona unaharibu au kuvunja penzi basi ujue ni wa kipuuzi hasa pale ambapo hakuna chochote ulichokiona au kukisikia cha kusababisha wivu na mupenzi saa yoyote ukitaka kuwa naye anapatikana au hata surprise visits unamkuta kajaa tele.

Sasa utajuaje wivu huu ni wa kipuuzi ama wa faida. Maana wivu ni involuntary feeling. Huweza kutokea saa yeyote kulingana na jinsi mahusiano ya mpenzi wako na watu wengine yalivyo.
 
Nachokiona ili kuondokana na wivu jaribu kujiweka mbali na situation zote zinazopelekea hali hio. Kama unajua mpenzi wako ni mtu social sana usimfuatilie sana hasa simu yake usiishike maana utakuta logs zitakazokupa wazimu kila mara. Na wanawake hawapendagi kuwa questioned kwenye ishu kama hizo hata kama hafanyi ushenzi, yataanza magomvi yasio na ukomo hapo mwisho ni kuachana.

Jaribu kumuwazia yalio bora zaidi na wewe pia pambana kuwa mpenzi bora zaidi kwake kiasi kwamba wengine wakose nafasi ulioiziba. Hii itakujengea zaidi confidence na itamfanya mpenzi wako akuamini zaidi kuwa ni mtu sahihi kwake.
 
Back
Top Bottom