Msaada dawa ya kutokuwa na wivu tafadhali

Msaada dawa ya kutokuwa na wivu tafadhali

Ukiona unaharibu au kuvunja penzi basi ujue ni wa kipuuzi hasa pale ambapo hakuna chochote ulichokiona au kukisikia cha kusababisha wivu na mupenzi saa yoyote ukitaka kuwa naye anapatikana au hata surprise visits unamkuta kajaa tele.

Ukiona umefikia kwenye stalking basi ujue sotuation is worse
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mi ndo sinaga hyo kitu kabisa, wivu wangu labda mpaka nimfume redi hended kafanya kitu kweli,sio kuhisi am kushuku,hsimu ya mpenzi wangu sikagui ,na bahti nzuri akifanya madudu ntakuja kujua tu.

Huwa nahisi wivu wa kupitiliza unatokana na kutokujiamini au matatizo mengine ya kisaikolojia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.

Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi pata mwanamke wa peke yako haswa kwa majiji haya makubwa.Maana kila unayemuona mrembo wewe iwe chuoni kwako, mtaani au mahara pako pa kazi wapo waliomuona wa kwanza kabla yako.
Na ukilazimisha sana utapigwa mvua 30 kwaajili ya watt wa shule.

So nimalize kwa kusema moyo wako haupendi ushirikiano una ubinafi wa ajabu kuwahi kutokea.

Wanaweke wengi tulionao watu walishapita kitambo Sisi tunachotaka ni maisha tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukihisi una wivu wa kijinga kama ulivyoeleza mwenyewe,tafuta mti wa mwarobaini kisha lala hapo chini mpaka uhisi wivu umekuisha,hiyo ndio dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.

Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta changudoa piga pumbu sepa hapo wivu utakuwa umeumaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom