Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
- Thread starter
- #21
Dawa ni kujiaminiNaachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.
Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa malayaNaachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.
Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo pesa ukiwa nazo hutohitaji kujua demu wako alikuwa na mabwana wangapi, hafu wanawake wa sikuhizi hata hawafichi akiulizwa anafunguka tu, na vijana nao msipende kuuliza yaliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nije pm yako ila vigezo vimepunguaTatizo pesa ukiwa nazo hutohitaji kujua demu wako alikuwa na mabwana wangapi, hafu wanawake wa sikuhizi hata hawafichi akiulizwa anafunguka tu, na vijana nao msipende kuuliza yaliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza asanteh kwa kujua kuwa una wivu wa kijinga, piah pole kwa kuachwa achwa, kumbuka kinachosabasha wivu usio na maana ni kuwa limbukeni wa jambo flan(mf; mtu anaweza kuwa na wivu hata ktk gari lake lisiendeshwe na mtu mwingine, hii hotokea wakati likiwa bado jipya) kujiepusha na hii hali kwanza kila kitu kinachotokea ktk mahusiano yako kichulie usually ili kisikuendeshe.. wivu ni mbaya na mtu yeyoye alie na wivu hajawahi kudum ktk uhusiano wowote never..Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha kwasababu ya wivu.
Hapo hapo mapenzi yanaanza kuporoka hatimaye kuachana kabisa,nina idadi kubwa sana ya niliochana kwasababu ya wivu wa kijinga ndio maana nikaona nije kwenu ili mnipe tiba, nifanyaje kuondokana hii hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15]BasI hutaki dawa. Baki na wivu wako..
Kwa ujinga huo atamuoa Nani labda azae wa kwake ndio amuoeMiaka 46 yote hujaoa. Aisee.
Fanya kazi kwa bidii
Comment yako inatosha wengine wote walikuwa wanapiga soga tu.kwanza asanteh kwa kujua kuwa una wivu wa kijinga, piah pole kwa kuachwa achwa, kumbuka kinachosabasha wivu usio na maana ni kuwa limbukeni wa jambo flan(mf; mtu anaweza kuwa na wivu hata ktk gari lake lisiendeshwe na mtu mwingine, hii hotokea wakati likiwa bado jipya) kujiepusha na hii hali kwanza kila kitu kinachotokea ktk mahusiano yako kichulie usually ili kisikuendeshe.. wivu ni mbaya na mtu yeyoye alie na wivu hajawahi kudum ktk uhusiano wowote never..
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije ukafanya kosa la kujiamini kupita kiasiTatizo sio pesa. Mshkaji hajiamini. Hata angekuwa nazo. Kama hajiamini ataendelea kuachwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app