Alichosema yeye kwmb kuna sindano ya dawa anatkiwa achome itagharimu laki 4
Alichosema yeye kwmb kuna sindano ya dawa anatkiwa achome itagharimu laki 4
Maelezo ya"layman version yametulia kweliMkuu sina maelezo ya kitaalam ila kuna ndugu yangu alikua na hilo tatizo alijifungua salama, alichomwa hiyo sindano iligharim 80,000/=. Nilihoji sana nikaambiwa o- inaona kitu chochote cha tofauti kama adui, kama mtoto akiwa na V+, damu ikienda kwa mama inatengeneza anti nini sijui ili kumkinga mama, sasa hiyo kitu ikirudi kwa mtoto inamuua. Hiyo sindano ndio kazi yake kuzuia hiyo kitu pale inapotokea damu zimachanganyikana. Layman version
Asante Fundisi nmeekewa kitu hapoGroup lolote la damu ukiwa ni rhesus negative kwa mwanamke ni tatizo kupata watoto. Mimba huharibika. Mimi sio daktari ila nimeskia hayo mambo kwa wataalamu.
Cha kufanya Ommydee huwa kuna sindano wanamchoma kuondoa hizo hali za kutopatana rhesus factor ya mtoto na ya mama. Maana asilimia kubwa ya watu ni rhesus positive.
Nenda hospitali kubwa kungali mapema kabisa watatatua.
Nashukuru kk iyo cndano ichomwe kpnd gani wa ujauzito wakeAlichokuambia daktari ni kweli kabisa, ni lazma awe anachomwa sindano.
Kifupi ni kwamba, o-ve ni group linalo resist sana magonjwa, kiasi kwamba, mimba ikiingia mwili pia unasensi ni ugonjwa hivyo itaharibiwa tu.
Hayo Dr atakwambia.Nashukuru kk iyo cndano ichomwe kpnd gani wa ujauzito wake