nemic4u
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 442
- 299
Kama ni mimba yake ya kwanza mtt atasurvive ,ila baada ya kujifungua ndani ya masaa 72 lzm mtt apimwe blood group na kama itakuwa ni + lazima mama achomwe hiyo sindano ili akibeba mimba ya pili isiharibike.Na kuhusu bei inaweza ikawa kweli hiyo laki nne mie nilichoma mwaka 2011 ilikuwa laki na ishirini.