Mfagio
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 704
- 881
Mara nyingi hizi taarifa zinakuwa ni unique namba tu ambayo inakuwa created na server wala sio majina yako wala umri wako. Mara nyingi hizi taarifa utumika kwenye matangazo wao wanaweza kujua nini user huyu anapendaOK asante mkuu,Je kama nikizikubali,hizi taarifa si wana uwezo wa kuzitumia vibaya dhidi yangu kama wakiamua?
Sent from my Nokia G10 using JamiiForums mobile app